Video: Wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 900 waliojificha Azovstal, Mariupol wajisalimisha kwa majeshi ya Russia

Hanyongwi mtu kwa sasa, watujengee miji yetu ya Ukraine kwanza, tutawajengesha madaraja, mashule, viwanda, mahandaki , majumba, barabar, sehem za starehe, magereza, mahospitali nk

Wale wageni kutoka nje ya Ukraine ( Nato) inawezekana wasionekane tena kifungo cha maisha
 
Hawezi kutuvamia, sema haya majitu ni maoga tu. Ila hata akivaamia huku jamaa wamejiandaa. Tuna mihandaki watu wanaweza kuishi na maisha kuendelea hata miaka miwili bila kutoka huko chini.

Huu ni mfano mmoja tu.

Waache wajidnganye. Jamaa anakata supply ya gas na umeme na mafuta tu. Watatoka huko sio mchezo aiseeee
 
[emoji91][emoji91][emoji91] Source reports that a second major wave of the Azovstal surrender process is expected this night or early morning[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Umeniwahi kamanda
 
@MK254 huna maoni hapa?
Mateka ni mtaji muhimu katika vita,Kuna nchi flani ilifungasha vilago mchana kweupe na haikutamani tena kubakia baada ya mateka wake kadhaa kufungwa kamba na kuburuzwa barabarani hadi kufa na video yake kurushwa dunia.
Nchi gani mkuu[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…