Video: Wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 900 waliojificha Azovstal, Mariupol wajisalimisha kwa majeshi ya Russia

Video: Wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 900 waliojificha Azovstal, Mariupol wajisalimisha kwa majeshi ya Russia

Russia imesema wanajeshi wa Ukraine mia tisa na hamsini na tisa (959) waliokuwa wamejificha kwenye kiwanda cha chuma huko Azovstal, Mariupol wamesalimu amri hadi kufikia jana (juma nne)...
Daah ni balaa hakika maandiko yanatimia ilisemwa taifa kwa taifa yatapigana
 
Kwan nani kaona la ajabu
Jamaa si kaleta taarifa tu
Mbna kama unateseka[emoji23][emoji16][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
... anayeteseka ni wewe au mimi? Nimesema "sioni" la ajabu; unauliza "nani kaona la ajabu"; nimekwambia umeona la ajabu? Elewa kwanza kabla ya kurukia kujibu!
 
There are about 16,000 Ukrainian troops who are surrounded by Russians and the Luhansk militias in the Severodonetsk area.

It looks like Zelensky will have to organise another “evacuation”.
Ndio wale walibeba mabango kusema wamefika mpaka wa Urusi.Kumbe ilikuwa ni mtego huku nyuma jeshi la Urusi likiwafungia njia.
 
Muda umewadia wa ukweli kujulikanwa na uongo wa Zelensky, NATO na vyombo vya habari vya kimagharibi kuanikwa.

Baada ya Zelensky, NATO na vyombo vya habari vya kimagharibi kuzungumza uongo kwa muda mrefu kuwa Zelensky anashinda vita mitandaoni, hatimaye wameanza kuumbuka.

Mpaka leo hii (Alhamisi 19 May) wanajeshi 1730 waliokuwa wakiipigania Ukraine ambamo miongoni mwao wamo kutoka nchi za NATO wamesalimu amri kwa majeshi ya Russia ili kuokoa maisha yako.

Hilo limejiri baada ya wanajeshi hao wa upande wa Ukraine kumiminiwa mvua za makombora kwa wiki kadhaa na hatimaye kukimbilia kujificha kwenye mahandaki ktk kiwanda cha chuma huko Azovstal, Mariupol. Baada ya kuzingirwa kwa miezi kadhaa na kuishiwa silaha, chakula na madawa, wameamua kujisalimisha kwa majeshi ya Ukraine ili waepuke njaa, wapatiwe matibabu (kwa walio majeruhi) na waweze kuendelea kuishi (wasipelekewe moto tena na majeshi ya Russia

Tusubiri comments toka kwa Pro-NATO Mwanamkiwi , T14 Armata , MK254
====

SmartSelect_20220519-125750_Chrome.jpg
SmartSelect_20220519-125815_Chrome.jpg
 
China is discussing with the Russian Federation the purchase of additional volumes of oil to replenish reserves, Bloomberg reports.
 
RF forces advanced South-West of Donetsk and took control of Novodarivka,Pryyutne and Stepove.Making an attempt to encircle Hulyaipole an important hub.RF also took advanced around Popasnaya and took control of Volodymyrivka and Trypillya.RF forces reached Troits'ke. https://t.co/aWJwno7gZH
 


Putin ni kichwa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Putin is not going to be defeated. The countries putting on sanctions constitute 15% of the world population. The other 85% say this is hurting everybody. We're just escalating and we're not thinking because none of this has a decent outcome.” — Jeffrey Sachs https://t.co/vLq5CiQ5dh
 
Back
Top Bottom