Video: Wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 900 waliojificha Azovstal, Mariupol wajisalimisha kwa majeshi ya Russia

Video: Wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 900 waliojificha Azovstal, Mariupol wajisalimisha kwa majeshi ya Russia

STRUGGLE MAN hii habari njema na warusi wenzako , mkipigwa tena kama mlivyopigwa pale darajani msishangae na msije sema propaganda, Uzi mchungu Kwa waukrain.

Nasoma comments, Leo warusi wanatawala jukwaa.
Mkuu sisi kawaida yetu kutoa kichapo, kwanza tumelidhibiti anga, hamna nzi kakatiza, wamepewa drons nyingi tunazidondisha kila siku, jana tumepiga ghala la silaha mpakani mwa Poland, wenyewe west imewauma zaidi ya sana, wanamwambia Ukraine asikate tamaa wakati kila siku wapiganaji wao wengi wanajisalimisha, kitu ambacho west hawapendi
 
Ajabu ni kwamba hii link ya video kwetu sisi tuliopo Ulaya hatuwezi kuifungua.

Vyombo vyote vya Urusi vimefungiwa huku. I wish someone could download and send it to me.
Hakuna link hapo
 
Mkuu sisi kawaida yetu kutoa kichapo, kwanza tumelidhibiti anga, hamna nzi kakatiza, wameoewa drons nyingi tunazidondisha kila siku, jana tumepiga ghala la silaha mpakani mwa Poland, wenyewe west imewauma zaidi ya sana, wanamwambia Ukraine asikate tamaa wakati kila siku wapiganaji wao wengi wanajisalimisha, kitu ambacho west hawapendi

Leo zamu yenu, Tambeni. Ikifika zamu ya waukrain mvumilie pia.
 
Kwani Pro NATO wanasemaje..?!
Pro-NATO hawa hapa chini...wanajilazimisha kukomenti kwa kujiliwaza
SmartSelect_20220518-161910_Chrome.jpg


Ngoja tumwite jenerali manyotanyota wa NATO T14 Armata atuelezee zaidi kadhia hii iliyowakumba
 
Pro-NATO hawa hapa chini...wanajilazimisha kukomenti kwa kujiliwaza
View attachment 2229448

Ngoja tumwite jenerali manyotanyota wa NATO T14 Armata atuelezee zaidi kadhia hii iliyowakumba
@MK254 huna maoni hapa?
Mateka ni mtaji muhimu katika vita,Kuna nchi flani ilifungasha vilago mchana kweupe na haikutamani tena kubakia baada ya mateka wake kadhaa kufungwa kamba na kuburuzwa barabarani hadi kufa na video yake kurushwa dunia.
 
Back
Top Bottom