OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Kwani Pro NATO wanasemaje..?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sisi kawaida yetu kutoa kichapo, kwanza tumelidhibiti anga, hamna nzi kakatiza, wamepewa drons nyingi tunazidondisha kila siku, jana tumepiga ghala la silaha mpakani mwa Poland, wenyewe west imewauma zaidi ya sana, wanamwambia Ukraine asikate tamaa wakati kila siku wapiganaji wao wengi wanajisalimisha, kitu ambacho west hawapendiSTRUGGLE MAN hii habari njema na warusi wenzako , mkipigwa tena kama mlivyopigwa pale darajani msishangae na msije sema propaganda, Uzi mchungu Kwa waukrain.
Nasoma comments, Leo warusi wanatawala jukwaa.
Wanalia huko[emoji23], wanachungulia wakipata maumivu, tuliwaambia hata wasaidiwe na Nato sisi tunatembeza kichapo kitakatifuKwani Pro NATO wanasemaje..?!
Nipo nae YugoslaviaUpo Taifa gani?
Hakuna link hapoAjabu ni kwamba hii link ya video kwetu sisi tuliopo Ulaya hatuwezi kuifungua.
Vyombo vyote vya Urusi vimefungiwa huku. I wish someone could download and send it to me.
Mkuu sisi kawaida yetu kutoa kichapo, kwanza tumelidhibiti anga, hamna nzi kakatiza, wameoewa drons nyingi tunazidondisha kila siku, jana tumepiga ghala la silaha mpakani mwa Poland, wenyewe west imewauma zaidi ya sana, wanamwambia Ukraine asikate tamaa wakati kila siku wapiganaji wao wengi wanajisalimisha, kitu ambacho west hawapendi
Pro-NATO hawa hapa chini...wanajilazimisha kukomenti kwa kujiliwazaKwani Pro NATO wanasemaje..?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Pro-NATO hawa hapa chini...wanajilazimisha kukomenti kwa kujiliwaza
View attachment 2229448
Ngoja tumwite jenerali wao manyotanyota Mkuu T14 Armata
Ukiwa sehemu Kama hii ombea adui zako wasijue ulipo. Wakijua MOAB zinatupiwa humo mnakufa ka panya.Pamoja na mabomu yao, bado kuna uhakika wa kuishi upo?
Yule mdada ndio basi tena.Vita ni vita muraa!! Hatari sana,yaani ukishakuwa POW(prisoner of war),jamaa wanaweza kukufanya chochote!!
Uturuki imeona mbali.Baada ya Ukraine kusalimu amri hatutopenda dunia kuingia katika shida nyengine.TURKEY HAS BLOCKED THE START OF NATO ACCESSION TALKS FOR FINLAND AND SWEDEN - DPA
Ni Mungu na sio mungu ndugu.Ukiwa sehemu Kama hii ombea adui zako wasijue ulipo. Wakijua MOAB zinatupiwa humo mnakufa ka panya.
Duh mungu atusaidie haya yasitokee
@MK254 huna maoni hapa?Pro-NATO hawa hapa chini...wanajilazimisha kukomenti kwa kujiliwaza
View attachment 2229448
Ngoja tumwite jenerali manyotanyota wa NATO T14 Armata atuelezee zaidi kadhia hii iliyowakumba
Nchi yenyewe ni kubwa halafu ikanyanyaswa na watu wa kawaida tuu😂@MK254 huna maoni hapa?
Mateka ni mtaji muhimu katika vita,Kuna nchi flani ilifungasha vilago mchana kweupe na haikutamani tena kubakia baada ya mateka wake kadhaa kufungwa kamba na kuburuzwa barabarani hadi kufa na video yake kurushwa dunia.