Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Naungana nao kulia
oho ho ho hooo hiii uwiii maaagufuli babaa uko wapi babaaa twafa huku hili hii tunaibiwaaa..

Screenshot_20230417-214741.jpg
 
Mmmmh, siyo kwamba mmewatengeneza hao watu?.

Ila niliwahi sema Magufuri anachukiwa mtandaoni tu but majority kubwa huko mtaani wapo wazi, hilo ni eneo dogo tu la nyamuswa pale Ikizu, sasa amsha popo maeneo mengine alafu upate feedback.

Ahahahaaaa, mwamba JPM.
 
Back
Top Bottom