Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Utekaji, uuaji, ufilishaji, utaifishaji, uonevu, wizi mkubwa nk sasa vimekwisha
Vip we ulitekwa huliuliwa ulifilisiwa uliibiwa au ndo umeaminishwa na ma Wana zako na we ukaamiini Kwa sababu akili zako zote umewakabidhi wao fungus ubongo Mzee siasa ni mchezo m hafu sana kama hujui
 
Wananchi wasiojua kuchambua mambo lazima wampende magufuli na yeye ndio alikuwa ame invest kwenye ujinga na umaskini wao …..na kutumia hulka yetu watanzania ya kupenda kuona watu wanashughulikiwa hasa MATAJIRI , WASOMI na WENYE MADARAKA ….
Sikatai ukweli kuwa ufisadi umekuwa mkubwa ….ninakataa tu hali ya wafuasi wa magufuli kutaka kujenga propaganda kuwa alikuwa MALAIKA ..na MSAFI …ukweli ni kuwa utawala wa Magufuli ufisadi ulikuwa mkubwa tu na zaidi ukiwahusisha watu wake wa karibu …

TUACHENI siasa za kuwatumia maskini na watu wasio na taarifa .
We tajiri una taarifa zipi mpya ebu tuelezee
 
Huwa tunawaambia hapa, the two best presidents of our country ni:
• Mwl Julius Kambarage Nyerere (Baba wa Taifa)
• Mwl John Pombe Magufuli (Baba wa Uchumi)
 
Acha
Ndugu yangu, yaliyokwisha kufanyika, yashafanyika, tulie ama tugalagale, bado haibadirishi kitu, yatubidi tuyasahau na tuendelee mbele!

Tuyafanye kama rejea kutenda mema zaidi, tumwachieni Mungu ajuaye viumbe vyake
Kumpamba hiyo kilaza mwambie alete ushahidi wa uhusika wa mauaji hayo usikubali kulishwa matango pori Kama ye alivyolishwa
 
Sasa Kama uligushi vyeti vyako hasira za Nini kwa Mwendazake!? Magu yeye alikua anasimamia Sheria za Nchi hana kosa lolote lile!!

Weka uhalali wa PhD mezani yake ili tuone sheria alizokuwa anasimamia.
 
Back
Top Bottom