Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
unaweza kudhani kusoma kutamfanya mtu kuwa na uelewa wa kila mambo na kumbe sivo hakika akili ni mazingatio na elimu ipo kwajili ya kumtanulia mwanadamu wigo wa kufikir lakin kwako nadhani haiko ivo hiv viongoz wanao kula pesa za uma na kusababisha mirad mbali mbali ya nchi kutofanyika ushawahi jiuliza athari za hayo na ni vifo vingapi vinasababishwa juu ya kutokuwa mwadilifu? ukishajua ilo ndo utaelewa kiongoz katili muaji ni yup na mwerevu mwenye kusimamia majukumu yake vema ni yup
 
unaweza kudhani kusoma kutamfanya mtu kuwa na uelewa wa kila mambo na kumbe sivo hakika akili ni mazingatio na elimu ipo kwajili ya kumtanulia mwanadamu wigo wa kufikir lakin kwako nadhani haiko ivo hiv viongoz wanao kula pesa za uma na kusababisha mirad mbali mbali ya nchi kutofanyika ushawahi jiuliza athari za hayo na ni vifo vingapi vinasababishwa juu ya kutokuwa mwadilifu? ukishajua ilo ndo utaelewa kiongoz katili muaji ni yup na mwerevu mwenye kusimamia majukumu yake vema ni yupi

Ni hivi, kama ni uadilifu wala hakuwa muadilifu. Njoo na utetezi mwingine kwake lakini sio uadilifu.
 
Hii ni kiashilia kuwa, alivyosema kuwa tutamkumbuka, sasa yaanza kujitokeza!
 
"Jpm alijificha kwenye chaka la kutetea wanyonge, ambao kimsingi ndio Tupo wengi, na alifanikiwa kuwa kamata wajinga na wapumbavu wengi kweli, he was very bright!
Kuyasema yaliyokweli ya moyoni kumhusu JPM, kwamba alikuwa ni kiongozi mwenye dhamira ya kweli kutaka kuipeleka nchi kwenye mafanikio makubwa, ni kujiondoa kwenye kundi la wajinga, wanafiki na wapumbavu, watukanaji na hawajawahi kuelewa wanahitaji kiongozi wa aina gani!
 
Kitabu ni kwa ajili ya watu serious sio kil.aza kama wewe. Wanaojitambua huwa wanasoma vitabu usidhani kwa sababu unakesha kule MMU basi unadhani Kila mtu hajitambui kichwani. Ni hivi historia ya dhalimu lazima ielezwe kwa uwazi Ili liwe funzo kuepuka aina ya kiongozi kama yeye kupewa madaraka makubwa vile.
Sasa Kama uligushi vyeti vyako hasira za Nini kwa Mwendazake!? Magu yeye alikua anasimamia Sheria za Nchi hana kosa lolote lile!!
 
Vyovyote iwapo hakuna jambo linatupa furaha iso kifani kama uhakika kwamba shetani yule hatorudi kamwe.
Hayo mengine bakini nayo wafuasi wake.
Hakika March 17 is a big day Mungu alijua kutukomboa waja wake
Usisahau kua Jinai haifi,wwe ulie gushi vyeti kuna siku isiyokua na jina wwe na wenzio wa Kugushi lazima tuwapandishe kwa Pilato!!
 
Mmmmh, siyo kwamba mmewatengeneza hao watu?.

Ila niliwahi sema Magufuri anachukiwa mtandaoni tu but majority kubwa huko mtaani wapo wazi, hilo ni eneo dogo tu la nyamuswa pale Ikizu, sasa amsha popo maeneo mengine alafu upate feedback.

Ahahahaaaa, mwamba JPM.
Hao wa mitandaoni, it does not come naturally. WAMETUMWA
 
Back
Top Bottom