Hayo mambo kawaida tu, mbona wapo wanaomlilia Nyerere hadi leo?!!!!
Ni namna fulani tu ya waliopatwa na jambo kuexpress hisia zao....
Simchukii jpm wala samia kwani wote, kwa namna moja au nyingine, nimefaidika nao kipindi Chao ila kwa hili haters wa samia mkajipange tena.......bado saaaaaaana. Hivi kipindi billion kadhaa za wakulima wa korosho wa mtwara zimechukuliwa kwa nguvu na mikwara juu, haters hamkuviona vile vilio vya wale wakulima waliojichokea?!!!!
Vp vilio vya wale pale kimara waliobomolewa nyumba zao hamkuviona?!!!!
Vp vilio vya walioporwa Mali?!!!
Waliodharirishwa na kina musiba?!!!