Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Mnaoandika vitabu, haya mliyafikilia pia?

Au pesa za mafisadi zimewafunga macho msione?

Sasa ni miaka miwili kaburini! Mtawaambia nini wananchi kama hawa wakaelewa ngonjera zenu?
Hii nchi si ya Magufuli nyie mapoyoyo. Kuna baba wa Taifa aliongoza miaka 23 sembuse huyo marehemu wenu aliyeongoza miaka 5. Ndio aliwafundisha kuvamia maeneo ya watu? Nyie ni washamba km yule marehemu wenu. Ondokeni kwenye maeneo ya watu.
 
Macho tu huna, kusikia nako huwezi! Akili nazo ndo empty, Utaambiwaje ili kuelewa kwamba wananchi wanamlilia upya usiyempenda?
 
Back
Top Bottom