Hapa mi naona we ndo hauna akili zaidi.......tena hauhusiki kabisa na akili, unayestahili kushitakiwa ukitaja hiko kitu kwani hakikuhusu.Hauna akili japo unataka uonekane una akili.
Unazungumzia Korosho?? ya Akina Makamba Bilion 60 , na maujinga yanayoendelea chini ya Samia , huyaoni??
Nani aliporwa Mali? JPM alikua mtu wa SHERIA, Samia ni mtu wa Hisia .
Sheria inataka uwe mnyoofu, Hisia zinaweza kukuambia, Mwizi msamehe maana naye anafamilia.
Utachagua unataka wapi!!.