Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

"Pros & cons" za JPM ni lazima zipimwe katika mizani iliyo sawia ili haki yote kwake ipate kubainika na kyfahamika. Ni lazima wadau wote muhimu watambue kipi kina "out weight" kingine ili "legacy" ya kweli ipate kutendewa haki yote na kukamilika.

Huyu mtu ni marehemu mwenye hadhi ya urais, ni hayati. Lakini hayupo tena katika ulimwengu wa walio kuwa hai kama ambavyo wengine wengi tungali tupo. Kile ambacho yeye alikifanya kupitia matakwa ya katiba, ambayo yeye aliapa katika kiapo chake, kuhusu kuitunza, kuilinda na kuitii, ndiyo hasa yeye alivyokuwa na anavyopaswa kuhukumiwa.

Kiapo ni nadhiri ambayo huwekwa mbele ya Mungu wake kupitia imani yake ya kidini. Kiapo ni nadhiri mbele ya umma wa Watanzania, kiapo ni kujitoa ili kuthibisha uwezo wako, kiapo ni kipimo cha haki kwa wale unaowaongoza kwa mujibu wa katiba, sheria, kanuni na miongozo, kiapo ni kioo cha uadilifu, uadilifu ni kipimo cha kujitoa kwa watu wote, kiapo ni kipimo cha ruhusa ya kulinganishwa na sifa za viongozi wengine, n.k.
Umeandika vitu vingi lakini sijaelewa unataka kusema nini
 
Mmmmh, siyo kwamba mmewatengeneza hao watu?.

Ila niliwahi sema Magufuri anachukiwa mtandaoni tu but majority kubwa huko mtaani wapo wazi, hilo ni eneo dogo tu la nyamuswa pale Ikizu, sasa amsha popo maeneo mengine alafu upate feedback.

Ahahahaaaa, mwamba JPM.
Mafisadi wanadai mama anaponya nchi wamemuandikia na kitabu
 
Kuni ziongezwe huko jehanam mwovu azidi kuteseka
JamiiForums-440561486.jpg
 
Mnaoandika vitabu, haya mliyafikilia pia?

Au pesa za mafisadi zimewafunga macho msione?

Sasa ni miaka miwili kaburini! Mtawaambia nini wananchi kama hawa wakaelewa ngonjera zenu?
Wananchi wapumbavu tuwaambie nini sisi? Kama wanaweza kuililia mifupa iliyoko shimoni Chato, unaanzaje kuwasaidia? Ni kupoteza muda. Hatu entertain stupidness
 
Hayo mambo kawaida tu, mbona wapo wanaomlilia Nyerere hadi leo?!!!!
Ni namna fulani tu ya waliopatwa na jambo kuexpress hisia zao....

Simchukii jpm wala samia kwani wote, kwa namna moja au nyingine, nimefaidika nao kipindi Chao ila kwa hili haters wa samia mkajipange tena.......bado saaaaaaana. Hivi kipindi billion kadhaa za wakulima wa korosho wa mtwara zimechukuliwa kwa nguvu na mikwara juu, haters hamkuviona vile vilio vya wale wakulima waliojichokea?!!!!
Vp vilio vya wale pale kimara waliobomolewa nyumba zao hamkuviona?!!!!

Vp vilio vya walioporwa Mali?!!!
Waliodharirishwa na kina musiba?!!!
Ata ukienda Kwa wakulima wa kolosho nao watalilia kama awa
 
Back
Top Bottom