Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Pambaneni na hali zenu hiyo ndio ccm mlioichagua sasa kelele za nini
 
Kwa wewe na baadhi ya wachache, wala sikulaumu mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukisoma comments za wanaoendelea kuomboleza kifo cha yule muovu ni wale wale Sukuma gang. Anyway kama inawapa faraja all the best. Mungu ni mwema sana kwa kutuondolea kadhia ile bila damu kumwagika
 
Macho tu huna, kusikia nako huwezi! Akili nazo ndo empty, Utaambiwaje ili kuelewa kwamba wananchi wanamlilia upya usiyempenda?
Acha kuwasingizia wananchi, sema Sukuma gang. Kwani huyo hawezi kuwa mtu kama wewe au ni wewe umejirekodi
 
Itachukua miaka mingine 50+ kupata mtu kama JPM. I appreciated him so much!!
Itachukua milele yote Tanzania haitakuja kamwe kuruhusu sadist kama yule kuongoza Taifa, that was a mistake na tumejifunza. Asante sana Mungu
 
2025 inafika mkuu ndo watajua Jiwe kumbe alipendwa.
Alipendwa na nani zaidi ya watu wajinga? Waweza weka mtu mmoja makini anayejitambua ambaye ana au alimpenda Jiwe? Mmoja tu, nitajie
 
Mimi Binafsi sitomlaumu Danish wala kumsifu jpm!

Mimi nailaumu jamhuri na deep state kwa haya!wameyaruhusu wenyewe yatokee kama tunavoona yalivyo!!

Yaani hata kama mali za ardhini ni za mabeberu lakini tungepunguza ujinga ujinga kama huo tunaouona!!!

Kusingizia katiba iliyopo kana kichaka cha haya yanayotokea ni ujinga wa halo ya juu!!

Mungu ibariki Tanzania!!
 
Hauna akili japo unataka uonekane una akili.

Unazungumzia Korosho?? ya Akina Makamba Bilion 60 , na maujinga yanayoendelea chini ya Samia , huyaoni??

Nani aliporwa Mali? JPM alikua mtu wa SHERIA, Samia ni mtu wa Hisia .

Sheria inataka uwe mnyoofu, Hisia zinaweza kukuambia, Mwizi msamehe maana naye anafamilia.

Utachagua unataka wapi!!.
CDM wako radhi kuungana na walamba asali kuliko kuungana na wananchi wanaolalamika wakimtaja Magu.😃😃😃
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukisoma comments za wanaoendelea kuomboleza kifo cha yule muovu ni wale wale Sukuma gang. Anyway kama inawapa faraja all the best. Mungu ni mwema sana kwa kutuondolea kadhia ile bila damu kumwagika
Damu na sacrifice yake haitoenda Bure,

Lazima Damu yake italeta Ukombozi Kwa Watanzania,

Ni suala la muda tu.

Tusubiri.
 
Ukumbuke na comment yako imesomwa, wewe ni nani?

Lakini pia kumekukera nini kwenye uzi usiokuhusu, uzi huu unawahusu tu wananchi wenye uelewa kuhusu nani kiongozi na nani sio kiongozi

Back
Top Bottom