Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Mimi ni makini na nilimpenda jiwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona sasa watu waliokuwa wanamkubali Jiwe, kumbe ni watu makini dizaini yako...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo unashindana na wajinga kwa kuwatukana? Basi wewe ni mpumbavu na huna Akili! Tangu lini mwerevu awe mtukana watu?
Mapumbavu mengi sana nchi na yule marehemu aliyafanya mtaji wake. Akayajaza propaganda za uwongo na ndiyo wanziamini mpaka sasa. Kiingereza inaitwa BRAINWASH. Hakuna kitu hapa yamebaki mazezeta tu
 
Hii nchi si ya Magufuli nyie mapoyoyo. Kuna baba wa Taifa aliongoza miaka 23 sembuse huyo marehemu wenu aliyeongoza miaka 5. Ndio aliwafundisha kuvamia maeneo ya watu? Nyie ni washamba km yule marehemu wenu. Ondokeni kwenye maeneo ya watu.
Wengi wanaopiga kelele ukiwaambia Mwalimu Nyerere hawawezi kukuelewa ni kama kumpigia mbuzi gitaa. Vijana wa juzi hawamjui Nyerere wala Sokoine.
 
Kwa hiyo unashindana na wajinga kwa kuwatukana? Basi wewe ni mpumbavu na huna Akili! Tangu lini mwerevu awe mtukana watu?
Kenge hasikii mpaka umtoe damu. Mafuasi ya mwendazake ni makenge tu
 
Mmmmh, siyo kwamba mmewatengeneza hao watu?.

Ila niliwahi sema Magufuri anachukiwa mtandaoni tu but majority kubwa huko mtaani wapo wazi, hilo ni eneo dogo tu la nyamuswa pale Ikizu, sasa amsha popo maeneo mengine alafu upate feedback.

Ahahahaaaa, mwamba JPM.
Kwa hiyo mtandaoni sio watu? Hata mtandaoni kuna baadhi ya wachache wanaompenda. Sampuli ya wingi wa hawa wa mtandaoni inasadifu hata mtaani pia. Au uliishia la saba B?
 
Back
Top Bottom