Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Tunaandika pia boss karibu sanaBusiness plan unaandika pia ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaandika pia boss karibu sanaBusiness plan unaandika pia ?
Lieni hadi mfe shenzy zenu! mlimkumbatia muuaji akatesa watu mkafurahia kuwa maskini nyau nyie
Ni ujinga kusema alimwaga damu za watu kwa Sababu hata enzi za kikwete kuna damu za watu zilimwagika kwahiyo hakuna jipya Katika utawala wa Magufuli.Aliwaga damu za Watanzania wengi na yeye Mungu akamtandika pigo moja tu la Corona mpaka leo kawaacha wakiwa mkiomboleza na kujifariji kila leo
Hebu rekebisha hiki kimombo kibovu mno.JPM Was a greatest leader ever.
Mmmmh, siyo kwamba mmewatengeneza hao watu?.
Ila niliwahi sema Magufuri anachukiwa mtandaoni tu but majority kubwa huko mtaani wapo wazi, hilo ni eneo dogo tu la nyamuswa pale Ikizu, sasa amsha popo maeneo mengine alafu upate feedback.
Ahahahaaaa, mwamba JPM.
Hayo mambo kawaida tu, mbona wapo wanaomlilia Nyerere hadi leo?!!!!
Ni namna fulani tu ya waliopatwa na jambo kuexpress hisia zao....
Simchukii jpm wala samia kwani wote, kwa namna moja au nyingine, nimefaidika nao kipindi Chao ila kwa hili haters wa samia mkajipange tena.......bado saaaaaaana. Hivi kipindi billion kadhaa za wakulima wa korosho wa mtwara zimechukuliwa kwa nguvu na mikwara juu, haters hamkuviona vile vilio vya wale wakulima waliojichokea?!!!!
Vp vilio vya wale pale kimara waliobomolewa nyumba zao hamkuviona?!!!!
Vp vilio vya walioporwa Mali?!!!
Waliodharirishwa na kina musiba?!!!
Unatumia kigezo kipi mkuu kupata jibu hili?Wananchi wasiojua kuchambua mambo lazima wampende magufuli na yeye ndio alikuwa ame invest kwenye ujinga na umaskini wao …..na kutumia hulka yetu watanzania ya kupenda kuona watu wanashughulikiwa hasa MATAJIRI , WASOMI na WENYE MADARAKA ….
Sikatai ukweli kuwa ufisadi umekuwa mkubwa ….ninakataa tu hali ya wafuasi wa magufuli kutaka kujenga propaganda kuwa alikuwa MALAIKA ..na MSAFI …ukweli ni kuwa utawala wa Magufuli ufisadi ulikuwa mkubwa tu na zaidi ukiwahusisha watu wake wa karibu …
TUACHENI siasa za kuwatumia maskini na watu wasio na taarifa .
Mbona analia pekee yake wenzake wanamshangaa tu.
Haya ni matusi.Wananchi wasiojua kuchambua mambo lazima wampende magufuli na yeye ndio alikuwa ame invest kwenye ujinga na umaskini wao …..na kutumia hulka yetu watanzania ya kupenda kuona watu wanashughulikiwa hasa MATAJIRI , WASOMI na WENYE MADARAKA ….
Sikatai ukweli kuwa ufisadi umekuwa mkubwa ….ninakataa tu hali ya wafuasi wa magufuli kutaka kujenga propaganda kuwa alikuwa MALAIKA ..na MSAFI …ukweli ni kuwa utawala wa Magufuli ufisadi ulikuwa mkubwa tu na zaidi ukiwahusisha watu wake wa karibu …
TUACHENI siasa za kuwatumia maskini na watu wasio na taarifa .
JPM kaongiza TZ Kwa misma 20 siyo 5 Kenge wewe.Hii nchi si ya Magufuli nyie mapoyoyo. Kuna baba wa Taifa aliongoza miaka 23 sembuse huyo marehemu wenu aliyeongoza miaka 5. Ndio aliwafundisha kuvamia maeneo ya watu? Nyie ni washamba km yule marehemu wenu. Ondokeni kwenye maeneo ya watu.
Ni dhahiri hapa, unalazimisha. Hakuna mwananchi anayetaka kumuumiza mtu yeyoye yule....labda hawa magaidi wa mtandaoni.Umeona kwenye video kuna mtu ndio producers wa movie ukisikia kwa makini ndio anawaambia hao wengine …lieni ….pigeni mayowe….hizi propaganda hazitasaidia ….kwa mwananchi wa Mtwara , Lindi aliyedhulumiwa korosho yake ..
Mwananchi wa TABORA, MOROGORO,RUKWA , KATAVI ….waliodhulumiwa TUMBAKU yao …
Wananchi wa Manyara ……waliodhulumiwa MBAAZI yao …
Mwananchi wa SONGEA na kwingine ambao mahindi yao yalidhulumiwa ……
Wananchi wa Mara ambao waliendelea kusulubiwa ….wananchi wa KILIMANJARO ,Manyara TANGA na Arusha ambao walibaguliwa kwa kuitwa watu wa “Kaskazini’
Sasa kama kweli wanajua kutengeneza video za kutaka kumuumiza samia basi waende MTWARA wakatengeneze senema kama hiyo …hata kama watatoa pesa tuone kama watarudi salama
"Alikuwa yuko Dar akisema kitu kinafanyika" nukuu ya wiki na dongo la mwezi...