Watafuatwa ndio na wataambiwa ukweli kwamba lazima Sheria ziheshimiwe,Sheri zisipoheshumiwa hakuna ustawi wao na Watoto wao..
Wanaweza kulia hata wafunge Spika ila huo ndio ukweli na hakuna kitakachobadilika...
Na yalivyo majinga unadhani nani atakuja kuwaambia kwamba mnichgue then sitofuata Sheria?
Mbona wanaemlilia alibomolea watu Maelfu ya nyumba Dar bila fidia? Likila hel za wahanga wa tetemeko bila Msaada?
Alimfukuza darasa la Saba Kwa kisingizio Cha vyeti fake yet upigaji uliendelea?
Bila Samia kuwafuta machozi hao wote walishakuwa maskini na stress Juu..