Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Utekaji, uuaji, ufilishaji, utaifishaji, uonevu, wizi mkubwa nk sasa vimekwisha
Vip we ulitekwa huliuliwa ulifilisiwa uliibiwa au ndo umeaminishwa na ma Wana zako na we ukaamiini Kwa sababu akili zako zote umewakabidhi wao fungus ubongo Mzee siasa ni mchezo m hafu sana kama hujui
 
We tajiri una taarifa zipi mpya ebu tuelezee
 
Huwa tunawaambia hapa, the two best presidents of our country ni:
• Mwl Julius Kambarage Nyerere (Baba wa Taifa)
• Mwl John Pombe Magufuli (Baba wa Uchumi)
 
Acha
Ndugu yangu, yaliyokwisha kufanyika, yashafanyika, tulie ama tugalagale, bado haibadirishi kitu, yatubidi tuyasahau na tuendelee mbele!

Tuyafanye kama rejea kutenda mema zaidi, tumwachieni Mungu ajuaye viumbe vyake
Kumpamba hiyo kilaza mwambie alete ushahidi wa uhusika wa mauaji hayo usikubali kulishwa matango pori Kama ye alivyolishwa
 
Sasa Kama uligushi vyeti vyako hasira za Nini kwa Mwendazake!? Magu yeye alikua anasimamia Sheria za Nchi hana kosa lolote lile!!

Weka uhalali wa PhD mezani yake ili tuone sheria alizokuwa anasimamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…