Hili ni Gharika hakuna wa kulizuia..Ndiyo maana IGP kanuna.
..basi waambieni wananchi wasimshangilie Tundu Lissu.
wewe wasema ila wa TANZANIA HAPANASawa Ila rais wa JMT atabaki kuwa jiwe tu kabla na Baada ya uchaguzi.
Hayo Mengine tubaki kujipa moyo na kujifariji tu hapa jukwaani.
Kwanini mgombea wa CCM, lugha ya kiingereza inamchenga?Sawa Ila rais wa JMT atabaki kuwa jiwe tu kabla na Baada ya uchaguzi.
Hayo Mengine tubaki kujipa moyo na kujifariji tu hapa jukwaani.
Ndiyo maana zinatumika nguvu, kila mbinu na kila taasisi kumdhibitiInakuwaje wanaJF!
RAIS anayesubiri kuapishwa kalakiwa kiaina yake Korogwe huku umati wa watu wakirukaruka na kuimba mkombozi amerudi