Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Kijerumani sio lugha rasmi Tanzania.kikukweli kabisa kiingereza hakiwezi sawa sawa,ila sio CV ya mgombea urais.maana hata wengine pia hawawezi kuongea kijerumani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijerumani sio lugha rasmi Tanzania.kikukweli kabisa kiingereza hakiwezi sawa sawa,ila sio CV ya mgombea urais.maana hata wengine pia hawawezi kuongea kijerumani.
Kijerumani sio lugha rasmi Tanzania.
Duu! Umeongea kinyonge sana huku ukijua kuwa jiwe hana nafasi mwaka huu.ole sana
Hapana spana ilipoteaa iliyokaza nutMkuu umesharudi katika hali yako ya kawaida?
Nenda mahakamani utazame vifungu vya Sheria vimeandikwa kwa lugha ipi. Vile vile jiulize kwanini SEKONDARI lugha ya mawasiliano ni kiingereza?aliyekwambia kiingereza ni lugha rasmi ya tanzania ni nani???
usidanganywe na hawa watumiaji fake wa ID humu jf,wengi ni viazi tu.
Nenda mahakamani utazame vifungu vya Sheria vimeandikwa kwa lugha ipi. Vile vile jiulize kwanini SEKONDARI lugha ya mawasiliano ni kiingereza?
Sasa kama kiingereza ni lugha mhimu ya mawasiliano, mbona mgombea wa CCM inamsumbua na ni chanzo cha kuogopa kwenda Ulaya?nakwambia lugha rasmi ya mawasiliano tz ni kiswahili,kiingereza ni lugha mhimu ya mawasiliano.
sekondari lugha ya mawasiliano ni kiingereza!!!!! au lugha ya masomo unamaanisha??
Sasa kama kiingereza ni lugha mhimu ya mawasiliano, mbona mgombea wa CCM inamsumbua na ni chanzo cha kuogopa kwenda Ulaya?
Itawekwamo kwa nguvu mkuuAcha kuishi kwa mazoea CCM haipo tena mioyoni mwa Watanzania.Jiandaeni kisaikolojia kurudi Chato!
Tangu nchi ipate uhuru 1961 ni rais yupi hakujua kuongea kiingereza?huo ni mtazamo wako jamaa yangu sijui unafikiri kwa kutumia kitu gani???
unadhani rais anakosa mkalimani wa kwenda naye huko ulaya mnakoona ni deal sana kufika!!!
halafu tembeeni mjifunze mtajua kuna marais wengi sana duniani hawajui kiingereza.
Tangu nchi ipate uhuru 1961 ni rais yupi hakujua kuongea kiingereza?
Hapa mahera na siro wanaumia Sana, wapande jukwaani wakaokoe jahazi.
Hizi sio zama za kutishana
Atabaki kuwa rais wa burigiSawa Ila rais wa JMT atabaki kuwa jiwe tu kabla na Baada ya uchaguzi.
Hayo Mengine tubaki kujipa moyo na kujifariji tu hapa jukwaani.
Watanzania wa ufipa.wewe wasema ila wa TANZANIA HAPANA