nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Duu! Umeongea kinyonge sana huku ukijua kuwa jiwe hana nafasi mwaka huu.ole sanaSawa Ila rais wa JMT atabaki kuwa jiwe tu kabla na Baada ya uchaguzi.
Hayo Mengine tubaki kujipa moyo na kujifariji tu hapa jukwaani.