Uchaguzi 2020 VIDEO: Wananchi walivyojitokeza kwa wingi Korogwe kumlaki Lissu wakiimba mkombozi amerudi

Acha kuishi kwa mazoea CCM haipo tena mioyoni mwa Watanzania.Jiandaeni kisaikolojia kurudi Chato!
.
Wewe Jamaa ni juha kabisa. Kuna mahali umeona nimeandika Neno CCM?

Jiwe atabaki kuwa jiwe tu na atabaki kuwa Rais tu.
 
Walahi CCM bila wizi na mabavu ya vyombo vya dola safari hii hata asilimia ishirini hawapati
 
labda ungeuliza ni rais yupi hakujua kuzungumza kiswahili.

mimi nazungumzia dunia na nchi nyingine,uone ni jinsi gani kiingereza unakisujudu wewe na na elimu yako ya kizungu.
Kwanini hii lugha ya kiingereza ni kikwazo kikuu kwa mgombea wa CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…