Jamii yenyewe imeisha jiharibikia. Pambania familia yako tuKwa hiyo inabidi tu tuhalalishe nchi nzima mkuu?
Hapana sio halali.Sasa kweli hata kama imehalalishwa je, ni halali kufirana hadharana mbele ya watoto?
Mambo ya Pwani kwa kina FidodidoKatika hali isiyokuwa ya kawaida, afande mmoja kutoka Dawati la Jinsia ameonekana akitoa nasaha kwa wanawake wa Mlandizi huku akiwashangaa kwa vitendo vyao vya ajabu wanavyofanya mbele za watoto wao.
Wanawake hao, ambao ni wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule mbalimbali wilayani humo, wameaswa kuacha kuwa mifano ya ovyo kwa watoto wao, ikiwa ni pamoja na kushare wanaume na mabinti zao.
Sitaki kuwapotezea muda kwa sababu muda ni mchache, hebu msikilze afande wewe mwenyewe hapo chini akitiririka bila kupepesa macho wala kutikisa masikio.
View attachment 3602855
MAONI YANGU
Hawa wazazi kwa kweli wameshindikana kabisa. Ifike wakati serikali ianze kutoa elimu ya unyago kwa wazazi kwa lazima, kama vile inavyowalazimisha wahitimu wa kidato cha sita kwenda JKT. Ikiwa serikali italifumbia macho suala hili, tutarajie kuwa na kizazi cha ovyo sana miaka michache ijayo.
Na haoni hata aibu ya kuongea kwa sababu ndio zao watu wa pwaniAfande naye anaonekana ni mweneji wa eneo hilo. Mbona mambo ya huko anayajua?
Seran Unakumbuka nilikuambia hizi habari hapa?Katika hali isiyokuwa ya kawaida, afande mmoja kutoka Dawati la Jinsia ameonekana akitoa nasaha kwa wanawake wa Mlandizi huku akiwashangaa kwa vitendo vyao vya ajabu wanavyofanya mbele za watoto wao.
Wanawake hao, ambao ni wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule mbalimbali wilayani humo, wameaswa kuacha kuwa mifano ya ovyo kwa watoto wao, ikiwa ni pamoja na kushare wanaume na mabinti zao.
Sitaki kuwapotezea muda kwa sababu muda ni mchache, hebu msikilze afande wewe mwenyewe hapo chini akitiririka bila kupepesa macho wala kutikisa masikio.
View attachment 3602855
MAONI YANGU
Hawa wazazi kwa kweli wameshindikana kabisa. Ifike wakati serikali ianze kutoa elimu ya unyago kwa wazazi kwa lazima, kama vile inavyowalazimisha wahitimu wa kidato cha sita kwenda JKT. Ikiwa serikali italifumbia macho suala hili, tutarajie kuwa na kizazi cha ovyo sana miaka michache ijayo.
Ni hatari hao ,wakijiachia hadi Bibi wanakula....mtoto 15 ,mama 30 ,bibi 45Ila bodaboda Mungu anawaona. Wanakula kuku na yai lake?
Kakaangu kuna wazazi hawajitambui kabisa, natamani ningepewa nafasi moja tu nideal na mambo kama haya aisee!Seran Unakumbuka nilikuambia hizi habari hapa?
Na nilikuwa hata sijaona hii habari. Inaonekana hili jambo linaelea sana.
Post in thread 'Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba' Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba
Hakuna raha, ni ukosefu wa adabu.Sasa hawa wazazi wakifirana mbele ya watoto huwa wanapata raha gani?
Au tamaduni za watu wa Pwani.Mungu anawaona hawa wanawake. Haya matendo wanayofanya ni chukizo duniani na mbinguni.