Video: Wanawake wa Mlandizi wanachangia wanaume na mabinti zao

Binti ana miaka 15 ana mtoto ,na huyo mtoto akifika miaka 15 yeye na mama yake wote wa moto ,Bodaboda lazima apite nao wote kama UPEPO.
 
Binti ana miaka 15 ana mtoto ,na huyo mtoto akifika miaka 15 yeye na mama yake wote wa moto ,Bodaboda lazima apite nao wote kama UPEPO.
Ila bodaboda Mungu anawaona. Wanakula kuku na yai lake?
 
Mambo ya Pwani kwa kina Fidodido
 
Seran Unakumbuka nilikuambia hizi habari hapa?

Na nilikuwa hata sijaona hii habari. Inaonekana hili jambo linaelea sana.

Post in thread 'Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba' Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…