The best_of _me
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 242
- 486
Sasa akili zangu zina uhusiano gani na hayo unayoyasema?Sasa mmmarekani akisilimu uislam unapungua Marekani? Wewe akili zako ziko wapi
Sasa akili zangu zina uhusiano gani na hayo unayoyasema?
Elewa kwamba waislamu wengi wamehamia ulaya na kupata uraia na siyo kwamba uislamu umeenea ulaya.
Siko sahihi Baadhi ya sehemu. Ila majina na profile picture si yake ni ya huyo Mama niliemsema.Ok. Kuna siku alitaka vijana wa kumuoa humu. Nimekuelewa
Umetoka ulaya umehamia Marekani tena?Hao mawazo yako na akili yako ndio inavyokuelekeza. Lkn watu wenye asili ya Marekani wamesilimu tena wengi mno
SawaUS Female Soldier Converts To Islam
Akili zako za kitoto. Kwani uislam ukienea Ulaya wewe utapungukiwa nini?Sawa
Natumai umenielewa
Ile kauli uislamu unaenea ulaya achana nayo bali sema waislamu wameenea ulaya utaeleweka
Hapo kusema unaenea unapotoshaAkili zako za kitoto. Kwani uislam ukienea Ulaya wewe utapungukiwa nini?
Kuenea maaana yake nini?Hapo kusema unaenea unapotosha
Sema waislamu wameenea Ulaya.
Naomba uelewe pamoja na hizo akili zangu za kitoto ambazo hazitaki upotoshaji unaoufanya.