VIDEO: Watu wa Gym haya ni mazoezi gani na yanasaidia nini?

Mkuu nielewe please.
Maisha yenyewe mazoezi tosha.
Gym ni ushoga ndugu yangu.
Mabaunsa wa gym wote ni chakula
nasikia bhana!! nasikia jamaa wanaliwa KIBOGA blaa!!! anyway, kimsingi gym zipo hasa ulaya kwa sababu miundo mbinu kama magorofa,barabara na viwanda vimeminya maeneo ya wazi,,,,sasa mfano wewe unaishi chanika,au goba,,au area C pale dom,,,au pale moshi mjini,,,,,gym ya nini??? kama sio mambo ya fashion,,,,alaf mimi naamini mazoezi mazueri ni yale yanayokufanya unasinyaa ka jaji warioba,,,,,sio unatanuka kama andazi la baresa....
 
Uhakka
 
Hawa mabaunsa sometimes wanatutongoza kwa kututishia kutushushia kichapo endapo tutakataa kuwanyandua😋😋😋
 
Mkuu nielewe please.
Maisha yenyewe mazoezi tosha.
Gym ni ushoga ndugu yangu.
Mabaunsa wa gym wote ni chakula
Walevi na wathenge mnayadiss mazoezi,mkuu we kunywa mipombe yako usifanye mazoezi, mkeo watakusaidia vijana
 
Hawa mabaunsa sometimes wanatutongoza kwa kututishia kutushushia kichapo endapo tutakataa kuwanyandua😋😋😋
ahahaaaaaaaaaaaaaa!!!!!! nasikia enzi za BILICANAS!!! kulikuwa na baunsa mmoja akikuona kimbaumbau kama mimi unaingia chooni kujisaidia nae anazama!! anakukwida alaf anakuuliza,"nivue unichomeke au nisivue?"" ukisema usivue,,,anakuminya mpaka unazima!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…