little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Hilo ndiyo janga la Tanzania mkubwa.Ukiimba nyimbo za kuibomoa jamii mfano kupromote ngono, ushoga,pombe,bangi,kukata viuno, huwezi sikia police Wala basata wakijua hata address yako ilipo.
We kosoa watajua hadi kitanda chako.
WE NYANI TU
Tena na Ikulu bungeni utaenda.Serikali zina connection na kuzimuHilo ndiyo janga la Tanzania mkubwa.
Yuko vizuri sana kichwani.Wananchi wakiamka hivi nchi itapiga hatua.sio mambo yakupiga unafiki wakati mambo hayaendi.Jamani huyu dada kama hajaolewa naomba ,naomba ,naomba awe mama wa watoto wangu .
Wewe itakua unataka mke utayemny'any'asa anakaa kimya.mwanamke mwenye akili unamwogopa.Wa aina hii ni wazuri sana eneo hili, ila sio mke, acha mihemko.
Kuna tofauti ya ustarabu na ujinga.bila shaka wewe unashabikia hilo la pili ukifikiri ndio ujanja.Umepanick? Inauma? Huyu anaemtusi rais humuoni? Acheni ushamba nyie, nyie ni n'gombe tu, mmezaliwa mkakua kama miti porini hamjui ustaarabu wala uungwana kwendeni zenu urundi urwanda huko hapa tanzania ni inchi ya wastaarabu, nguruwe kama nyie kwenu ni porini, nyangau mkubwa
Mama yupo mpaka 2030, wagalatia endeleeni kuumia kwa sana tu
Wewe itakua unataka mke utayemny'any'asa anakaa kimya.mwanamke mwenye akili unamwogopa.
Haa haa 🥺🥱Kama Huna mwanasheria msomi tuliza boli.......utavunjika shingo na sio guu