Video: Watu wenye maoni ya kuikera serikali kama huyu dada ndio wasiotakiwa na serikali ya CCM. Sitashangaa polisi wakimkamata kwa uchochezi!!

Video: Watu wenye maoni ya kuikera serikali kama huyu dada ndio wasiotakiwa na serikali ya CCM. Sitashangaa polisi wakimkamata kwa uchochezi!!

Ukiimba nyimbo za kuibomoa jamii mfano kupromote ngono, ushoga,pombe,bangi,kukata viuno, huwezi sikia police Wala basata wakijua hata address yako ilipo.
We kosoa watajua hadi kitanda chako.
Hilo ndiyo janga la Tanzania mkubwa.
 
Umepanick? Inauma? Huyu anaemtusi rais humuoni? Acheni ushamba nyie, nyie ni n'gombe tu, mmezaliwa mkakua kama miti porini hamjui ustaarabu wala uungwana kwendeni zenu urundi urwanda huko hapa tanzania ni inchi ya wastaarabu, nguruwe kama nyie kwenu ni porini, nyangau mkubwa

Mama yupo mpaka 2030, wagalatia endeleeni kuumia kwa sana tu
Kuna tofauti ya ustarabu na ujinga.bila shaka wewe unashabikia hilo la pili ukifikiri ndio ujanja.
 
Kama Huna mwanasheria msomi tuliza boli.......utavunjika shingo na sio guu
Haa haa 🥺🥱

Ina maana nyie chawa wa mama mmeshajifungia tayari huko kwenye jumba lenu la mateso kule Upanga na pale Lumumba kupitia maoni yake haya neno kwa neno na sentensi kwa sentensi kutafuta uhaini au uchochezi siyo..?

You are very foolish and stupid at the same time because you will anyhow never incriminate this lady.!!!

Kila neno na kila sentensi ni pure na ni ukweli halisi uliopimwa ktk mizani zote ya kikatiba na sheria zote za Tanganyika ikaonekana ni safi ndipo ikaruka hewani..!

Mch. Mbarikiwa Mwakipesile wa Mbeya anasema safari hii ni zamu ya watawala kuhangaika na wengine ndio watakaokimbia nchi wakidhani watajiponya..
 
Back
Top Bottom