Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM waliandaa watu wa kumtukana Tundu Lissu, wamekutwa na aibu.Wakuu,
Wakuu,
Huko Singida leo, Lissu alisimamisha mkoa wote baada ya wazee wa kimila la Kinyaturu kumtawaza Lissu kama shujaa wa Kinyaturu
Wamempa ngao na kaniki kama nembo ya heshima yao kwa Lissu
Nimepata maswali mengi sana baada ya kuona hili tukio.
Mbona Mama yako hajaondolewa? Wajinga mnazidi kuongezeka huko utumwani ccm.Haina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu
Waseme shujaa wa taifa sio wa kimila tu.Wakuu,
Huko Singida leo, Lissu alisimamisha mkoa wote baada ya wazee wa kimila la Kinyaturu kumtawaza Lissu kama shujaa wa Kinyaturu
Wamempa ngao na kaniki kama nembo ya heshima yao kwa Lissu
Nimepata maswali mengi sana baada ya kuona hili tukio.
DuhHaina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu
Mbona wewe una upungufu wa ubongo, yaani una ubongo kiasi kidogo chini ya wasting na hujatupwa porini?Haina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu
Unafikiri mama yako wkt anakuzaa hakuwa na mapungufu ni basi tu madaktari walimsitiri ili wewe kiazi uzaliweHaina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu ma
Huyo bibi yako hakuti hata robo ya akili ya Lissu!Haina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu
Nyota njema huanza nyumbani, (charity begins at home) ama upendo huanza nyumbaniWaseme shujaa wa taifa sio wa kimila tu.
Haina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu
Neno sana mkuuNyota njema huanza nyumbani, (charity begins at home) ama upendo huanza nyumbani
CCM wao ni pombe na ngono pekee ndiyo chakula chao, ndiyo maana nchi imejaa viwanda vya pombe kali badala ya viwanda vya alzeti, ngano, sukari n.kJikomboe kutoka kwenye fikra za kitumwa, dunia inahitaji watu wenye akili sana kwa sasa ili iweze kusonga mbele kwa Kasi.
Dunia inahitaji akili huru, zenye kufikiria na kutoa maamuzi kulingana na ukweli na uhalisia wa mambo.
Jitahidi sana kula sea foods, samaki wa ziwani, mboga za majani, protein nk na watoto wajitahidi sana kuwapatia lishe Bora pamoja namama akiwa mjamzito hii itasaidia sana kutengeneza jamii bora itakayokuwa na akili huru.
Una uhakika gani kama mama yako amekamilika? Mbweha mweusi weyeHaina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu