Pre GE2025 Video: Wazee wa kimila Singida wamteua Tundu Lissu kuwa shujaa wa Kinyaturu. Wamvika nguo za kimila ikiwemo kaniki na ngao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Huko Singida leo, Lissu alisimamisha mkoa wote baada ya wazee wa kimila la Kinyaturu kumtawaza Lissu kama shujaa wa Kinyaturu

Wamempa ngao na kaniki kama nembo ya heshima yao kwa Lissu

Nimepata maswali mengi sana baada ya kuona hili tukio.

Haina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu
 
CCM waliandaa watu wa kumtukana Tundu Lissu, wamekutwa na aibu.
 
Haina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu
Mbona Mama yako hajaondolewa? Wajinga mnazidi kuongezeka huko utumwani ccm.
 
Haina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu
Mbona wewe una upungufu wa ubongo, yaani una ubongo kiasi kidogo chini ya wasting na hujatupwa porini?
 
Haina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu ma
Unafikiri mama yako wkt anakuzaa hakuwa na mapungufu ni basi tu madaktari walimsitiri ili wewe kiazi uzaliwe
 
Haina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu
Huyo bibi yako hakuti hata robo ya akili ya Lissu!
 
Haina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu

Jikomboe kutoka kwenye fikra za kitumwa, dunia inahitaji watu wenye akili sana kwa sasa ili iweze kusonga mbele kwa Kasi.

Dunia inahitaji akili huru, zenye kufikiria na kutoa maamuzi kulingana na ukweli na uhalisia wa mambo.

Jitahidi sana kula sea foods, samaki wa ziwani, mboga za majani, protein nk na watoto wajitahidi sana kuwapatia lishe Bora pamoja namama akiwa mjamzito hii itasaidia sana kutengeneza jamii bora itakayokuwa na akili huru.
 
CCM wao ni pombe na ngono pekee ndiyo chakula chao, ndiyo maana nchi imejaa viwanda vya pombe kali badala ya viwanda vya alzeti, ngano, sukari n.k
 
Haina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu
Una uhakika gani kama mama yako amekamilika? Mbweha mweusi weye
 
Back
Top Bottom