Video: Waziri wa Michezo akionyesha Vijana Namna ya kusakata kabumbu

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
4,766
Reaction score
16,191
Ndio inapaswa iwe hivi, waziri wa kilimo ajue kupiga jembe haswa tena la mkono.

Waziri wa TEHAMA ajue masuala ya IT na wizara zingine zote wawe wanafanyiwa majaribio na kupewa mitihani kabla hawajaingia kwenye wizara husika.

Your browser is not able to display this video.

Minister Of Sports Uganda.
 
Isijekuwa amevuruga nguvu za kurudisha heshima nyumbani
 
Noma Sana......hapo ataumwa wiki nzima
 
Mwili umekosa uwiano, ilikuwa lazima aanguke.
 
Kusumbua watu tu. Yule aliyemuokotea kiatu ameenda kuchekea pembeni.
Hata MC mwenyewe kashindwa kujizuia imebidi acheke tu, kapotezea kwa kumfariji na kusema "wonderful penalty"😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…