Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Kwani unadhani mimi akinipa kama yeye ni mzima wa afya namuacha?? Namkamua kisawa sawa.
Haha umetisha Kaka!!

Miaka inakwenda,inasonga mbele,watu wanabadilika kimtazamo,kimwili na Mambo lukuki.Wengine hubadilika kutokana na changamoto za maisha au maamuzi ya mtu binafsi.

Hata wewe nadhani miaka kumi nyuma sivyo kama ulivyo sasa walau hata kiduchu.
 
Ndio alkuwaga mzuri kwel kipind cha umiss tz kajiaribu now makalio makubwa miguu njiti na hana ata uwezo wa kubeba mimba
 
Naibu waziri hajamuona amfungie?? Lol.
Dah. Kweli maana serikari inasema sio maadili udhalilishaji wa wanawake WAO kumbe ndio wanapenda hiyo KAZI IPO. Unamlazimisha MTOTO aende Shule naye hapendi Shule so unalipa maada wee yeye akifika Shule ni kuchati darasani haingii . sasa hapo nani anapata hasala . dah Safari ni mlima Na mabonde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…