Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Huyu ndiye Wema sasa.
Mbwa hanenepi miguu, sasa kajichoma masindano ila miguu imebaki ya yule Wema wa zamani.
Hawa sijui nani anawadanganyaga.
images-2.jpg
pengine hata yeye akiona hizi picha huwa anahuzunika sana,sema ndio basi tena.
 
Kwani unadhani mimi akinipa kama yeye ni mzima wa afya namuacha?? Namkamua kisawa sawa.
Haha umetisha Kaka!!

Miaka inakwenda,inasonga mbele,watu wanabadilika kimtazamo,kimwili na Mambo lukuki.Wengine hubadilika kutokana na changamoto za maisha au maamuzi ya mtu binafsi.

Hata wewe nadhani miaka kumi nyuma sivyo kama ulivyo sasa walau hata kiduchu.
 
Ndio alkuwaga mzuri kwel kipind cha umiss tz kajiaribu now makalio makubwa miguu njiti na hana ata uwezo wa kubeba mimba
 
Naibu waziri hajamuona amfungie?? Lol.
Dah. Kweli maana serikari inasema sio maadili udhalilishaji wa wanawake WAO kumbe ndio wanapenda hiyo KAZI IPO. Unamlazimisha MTOTO aende Shule naye hapendi Shule so unalipa maada wee yeye akifika Shule ni kuchati darasani haingii . sasa hapo nani anapata hasala . dah Safari ni mlima Na mabonde.
 
Back
Top Bottom