Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa sijui nani anawadanganyaga.Huyu ndiye Wema sasa.
Mbwa hanenepi miguu, sasa kajichoma masindano ila miguu imebaki ya yule Wema wa zamani.
Haha umetisha Kaka!!Kwani unadhani mimi akinipa kama yeye ni mzima wa afya namuacha?? Namkamua kisawa sawa.
Dogo, nenda tuition!!mmh ila wadau huo mzigo mbona kama ni OG kabisa huo jamn...tuache wivu[emoji16]
Angalia video clip ipo hapo juu, nenda sloo mo ndio utaona alama.Ni kweli ana makalio feki...
Lakini hayana alama kama hizo unazotaka kuaminisha watu...
Embu screenshot tena vizuri...
Cc: mahondaw
Alikuwa mtamu sn ila saaizi anamastress lufa mtu....Hawa sijui nani anawadanganyaga.View attachment 724694pengine hata yeye akiona hizi picha huwa anahuzunika sana,sema ndio basi tena.
HahahaMtanzania Mpe Picha tu...Stori atamalizia mwenyewe
Dah. Kweli maana serikari inasema sio maadili udhalilishaji wa wanawake WAO kumbe ndio wanapenda hiyo KAZI IPO. Unamlazimisha MTOTO aende Shule naye hapendi Shule so unalipa maada wee yeye akifika Shule ni kuchati darasani haingii . sasa hapo nani anapata hasala . dah Safari ni mlima Na mabonde.Naibu waziri hajamuona amfungie?? Lol.