Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Mwacheni na maisha yake Wazee vipi kwani mboni hamtaki kuzeeka?Kavaa mwenyewe Ila hajiamini
Mwacheni na maisha yake Wazee vipi kwani mboni hamtaki kuzeeka?Kavaa mwenyewe Ila hajiamini
Nataka pesa yangu mkuu..K ni yake mwacheni
Dar es Salaam's ...Tanzania'sSweetheart
Adui wa mwanamke ni umri😁Aisee! Kweli muda unaamua vitu vingi sana, Wema ndo katepeta hivyo kalio! Aisee
Unaona comments zangu unapita tuu ..Adui wa mwanamke ni umri😁
Adui wa mwanamme umaskini
Wewe yako hua inachukua muda gani kua kavu? Unaipulizaga na feni?Hujawahi tia k ukitoa mtarimbo mkavu!!?.. yaani muda si mrefu kashindiliwa
Adui wa mwanamke ni umri😁
Adui wa mwanamme umaskini
Hili tusi angalia lisije likamrudia aliekuzaaMmmh si itakuwa kama mapupu yaliyo oza? Umaarufu umeshika kasi kuliko kustaharabika!
Dah so poa mzee.hadi anaogopa kugeuka
Muda gani uliowatupa mkono? Mkono upi wa chini au wa juu?Wanawake ni wagumu sana kukubali kwamba muda umewatupa mkono!
Ndio poa sio poa imetokea wapi kwani ulimvesha wewe? Unamlipia bills zozote? Nguo anazovaa umechangia chochote? Mind your businessDah so poa mzee.
Ndio poa sio poa imetokea wapi kwani ulimvesha wewe? Unamlipia bills zozote? Nguo anazovaa umechangia chochote? Mind your business
Unaona comments zangu unapita tuu ..
Mkuu pesa yangu lini
Sinza sweetheartDar es Salaam's ...
Sasa akiwa kama huyu ndiyo mzazi ukose kauli ya kukosoa?Muache usimuhukumu ,mwanao wa kike anaweza kuja kuwa kama huyo ,mengi wanajifunzia huku duniani.
Wakuu!
Tanzania's Sweetheart Wema Sepetu amepokea ukosoaji mkubwa kutoka kwa watumiaji wa Mitandao ya kijamii kwa hiki kivazi