VIDEO: Wema Sepetu hiki ni nini ulichokivaa, ona unavyoshambuliwa mitandaoni

VIDEO: Wema Sepetu hiki ni nini ulichokivaa, ona unavyoshambuliwa mitandaoni

Nataka pesa yangu mkuu..
Takufungulia uzi..

Huu ni utapeli...
Kwanini unadanganya vijana namna hii...
Kwanini kila mikeka inachanika tuu we ni nani Bana..

Tunataka pesa zetu mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni hasara kubwa kwa bint wa kiislam kuwa katika muonekano huo. Allah atustiri

﴿وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا لَعِبٌ وَلَهْوٌ ۖ وَلَلدَّارُ الْآخِرَةُ خَيْرٌ لِّلَّذِينَ يَتَّقُونَ ۗ أَفَلَا تَعْقِلُونَ﴾
[ الأنعام: 32]

Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?​

Surah Al-Anam
And the worldly life is not but amusement and diversion; but the home of the Hereafter is best for those who fear Allah, so will you not reason?

Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?

Na huo uhai wa duniani walio uona makafiri kuwa ndio uhai wa pekee, na ambao hawaukusudii kwa kufanya vitendo vya kumridhi Mwenyezi Mungu, uhai huo si chochote ila ni mchezo usio kuwa na manufaa, na pumbao la kujipumbazia tu!! Na hakika nyumba ya Akhera ndio khasa uhai wa kweli. Huo unawanufaisha zaidi wale wanao mwogopa Mwenyezi Mungu na wanazifuata amri zake. Basi hamtii akilini jambo hili lilio wazi? Hivyo hamfahamu linalo kudhuruni na linalo kufaeni?
Upuuzi mwingine huu hapa
 
Ningesema kwamba akikua ataacha lakini % kubwa ya wanawake hawaoni kama tayari gazeti la jioni wao wanaenda na mifasheni hata akiwa >60 ,utamkuta mwanamke more than 40 lakini kavaa vinguo vya kubana na vitop.
 
Jamaa comments zako nyingi siku hizi ni za kutetea upumbavu wa wanawake, sijui kuna kumma gani unaifukuzia humu.
Unaongea ujinga ,wewe unafikria hata mwanao akiwa mkubwa utamfanya nn ? Zaidi labda abadilike mwenyewe...kuna viongozi wakubwa watoto wao ni wahuni , makahaba hata mateja...Mkuu wa kituo cha polisi hapa Tanga miaka ya nyuma mwanae mkubwa alikuwa mwizi hakuna Tanga ,alishindwa kumzuia mpaka alikuj kubadilika ukubwani huko.

Wewe mwenyewe unazini watoto wa watu kisa watu hawajui , Punguza unafiki .

Unafikiria unachotaka kwa mwanao kitatokea basi pole sana.
 
Duh wema kachaka hivyo
Kweli madem huzeeka mapema
Anyway matumiz huwa ni mengi

Ova
 
Muache usimuhukumu ,mwanao wa kike anaweza kuja kuwa kama huyo ,mengi wanajifunzia huku duniani.
So una muunga mkono si ndio? Yaani unasema jamaa kumkosoa na kukemea ana kosea ila wema sepetu ndie anapatia na ni mfano wa kuigwa na mabinti wakiwemo wadogo zako wa kike,dada zako,na watoto wako wa kike si ndio?🤔
 
Kwani wewe una mamlaka gani ya kumuhumu ? Unatoa hukumu kwa mlengo upi?

Unavyozini watoto wa watu ,nani anakuhukumu? Jipanguse kimavi kwanza ndio useme ya mwenzio.
 
Kwani wewe una mamlaka gani ya kumuhumu ? Unatoa hukumu kwa mlengo upi?

Unavyozini watoto wa watu ,nani anakuhukumu? Jipanguse kimavi kwanza ndio useme ya mwenzio.
Sasa kama unalijua hilo,hebu wewe sasa tuambie hadhira hii ya wanaJF, NI NANI,AMEKUPA WEWE MPUUZI M'MOJA WAHED,MAAMUZI YA KUWAHOJI WENGINE WANAOMJUDGE WEMA SEPETU,WEWE KAMA NANI AMEKUJA KUMHOJI JAMAA HAPO JUU?😡😡😡😡😡
 
Mpuuzi baba yako kwanza ,acha nyege acha kuhukumu wako , anza na mama yako kwanza inawezekana wewe ni mtoto wa nje.
 
Unaongea ujinga ,wewe unafikria hata mwanao akiwa mkubwa utamfanya nn ? Zaidi labda abadilike mwenyewe...kuna viongozi wakubwa watoto wao ni wahuni , makahaba hata mateja...Mkuu wa kituo cha polisi hapa Tanga miaka ya nyuma mwanae mkubwa alikuwa mwizi hakuna Tanga ,alishindwa kumzuia mpaka alikuj kubadilika ukubwani huko.

Wewe mwenyewe unazini watoto wa watu kisa watu hawajui , Punguza unafiki .

Unafikiria unachotaka kwa mwanao kitatokea basi pole sana.
Maelezo meengi halafu upuuzi mtupu

Eti "unafikria hata mwanao akiwa mkubwa utamfanya nn ? Zaidi labda abadilike mwenyewe...kuna viongozi wakubwa watoto wao ni wahuni , makahaba hata mateja..."

Yaani unanipa mifano hasi hili kusupport narrative yako bila kujua hao watu mpaka kufikia kuwa watu wa ajabu ajabu hivyo malezi waliopewa na wazazi wao yana mchango mkubwa sana, hivi unajua hata unachokitetea hapa?

Kwa hiyo kwa akili yako unaamini mtoto kukengeuka ni jambo linalotokea tu automatic na hakuna chanzo chake ambacho malezi? Wewe unalilea litoto kama yai halafu likaja kuwa kahaba au jizi unaanza kutafuta mchawi nani, ukikosa mchawi unaanza kusema ni matokeo tu ambaye hakuna anayejua chanzo chake zaidi ya Mungu?

Una mindset ya ajabu sana wewe jamaa, haya endelea kutetea huo upuuzi wa Wema hapa
 
Huyu bint hajakuwa tu??Yaani bado anaendeleza umaarufu wa kijinga?Hawazi maisha yake ya miaka ya mbeleni?Mana kama Biashara ya Uchi kwake bei ishashuka,Sasa kwanini asifikirie mambo ya Uhenga?Pole sana kwake
 
Back
Top Bottom