Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Ona ulivyokuwa mjinga unafikiria mama yake atamfanya , hujielewi kabisa ..Dunia ina mengi kila kiumbe kinapata akili yake hapa , hata kozi ya kusoma chuo hauwezi kumpangia mtoto wako , hauwezi kumpangia kama mlizaa weneywe kwa tamaa zenu muache ale maisha ..Maumivu yake unaweza kuyabeba .Maelezo meengi halafu upuuzi mtupu
Eti "unafikria hata mwanao akiwa mkubwa utamfanya nn ? Zaidi labda abadilike mwenyewe...kuna viongozi wakubwa watoto wao ni wahuni , makahaba hata mateja..."
Yaani unanipa mifano hasi hili kusupport narrative yako bila kujua hao watu mpaka kufikia kuwa watu wa ajabu ajabu hivyo malezi waliopewa na wazazi wao yana mchango mkubwa sana, hivi unajua hata unachokitetea hapa?
Kwa hiyo kwa akili yako unaamini mtoto kukengeuka ni jambo linalotokea tu automatic na hakuna chanzo chake ambacho malezi? Wewe unalilea litoto kama yai halafu likaja kuwa kahaba au jizi unaanza kutafuta mchawi nani, ukikosa mchawi unaanza kusema ni matokeo tu ambaye hakuna anayejua chanzo chake zaidi ya Mungu?
Una mindset ya ajabu sana wewe jamaa, haya endelea kutetea huo upuuzi wa Wema hapa
Mfanye starehe zenu wenywe ili muje kumfanya mtumwa huyo mtoto kwa sheria zenu za kijinga ...Jitambue kwanza , unakuta wewe mwanao ni kahaba wala haujui.