VIDEO: Wema Sepetu hiki ni nini ulichokivaa, ona unavyoshambuliwa mitandaoni

VIDEO: Wema Sepetu hiki ni nini ulichokivaa, ona unavyoshambuliwa mitandaoni

Wakuu!

Tanzania's Sweetheart Wema Sepetu amepokea ukosoaji mkubwa kutoka kwa watumiaji wa Mitandao ya kijamii kwa hiki kivazi

Ni hasara kubwa kwa bint wa kiislam kuwa katika muonekano huo. Allah atustiri

﴿وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا لَعِبٌ وَلَهْوٌ ۖ وَلَلدَّارُ الْآخِرَةُ خَيْرٌ لِّلَّذِينَ يَتَّقُونَ ۗ أَفَلَا تَعْقِلُونَ﴾
[ الأنعام: 32]

Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?​

Surah Al-Anam
And the worldly life is not but amusement and diversion; but the home of the Hereafter is best for those who fear Allah, so will you not reason?

Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?


Na huo uhai wa duniani walio uona makafiri kuwa ndio uhai wa pekee, na ambao hawaukusudii kwa kufanya vitendo vya kumridhi Mwenyezi Mungu, uhai huo si chochote ila ni mchezo usio kuwa na manufaa, na pumbao la kujipumbazia tu!! Na hakika nyumba ya Akhera ndio khasa uhai wa kweli. Huo unawanufaisha zaidi wale wanao mwogopa Mwenyezi Mungu na wanazifuata amri zake. Basi hamtii akilini jambo hili lilio wazi? Hivyo hamfahamu linalo kudhuruni na linalo kufaeni?
 
huyu alijiharibia maisha mwenyewe, sahivi anatilisha huruma sana
 
Wakuu!

Tanzania's Sweetheart Wema Sepetu amepokea ukosoaji mkubwa kutoka kwa watumiaji wa Mitandao ya kijamii kwa hiki kivazi

Ukitoka shambani baki na ushamba wako huu ni mji au jiji huwezi pangia watu namna ya kuishi la msingi hawajavunja sheria dunia ina mengi na hujaona yote ishi kwa viwango vyako na usijaji watu
 
hiyo video nadhani itakua haina maadili hivyo nahofia watu watajifunza nini kutoka kwangu maana wema mimi namjua mambo yake hovyo.
 
wema mwenywe juzi tuu alikua anapima nyama kilo30 tuu.
leo awe amenenepa sana hizo sio edit
 
Back
Top Bottom