Video: Wenye wake zenu wanaoenda gym kuna ushauri wenu huku

Video: Wenye wake zenu wanaoenda gym kuna ushauri wenu huku

Hata sio gym sehem yeyote ile wanawake wanajiuza.
Kuna binti nilihisi ametulia
Alikuwa anafanya kazi sehemu fulani.
Ghafla nkashangaa zimepita siku nyingi haonekani.
Nilivyokuja kufuatilia , naambiwa bosi wake alimtimua kazini kwa sababu ya kugonganisha wanaume hadi kufikia hatua ya kuharibu kazi yake.
Nikaishia kuchoka na kuanza kuamini kila mmoja anauza kwa style yake.
 
Sijawahi kufika hizo jimu zenu za mjini mkuu. Huko kijijini kwetu jimu ni kwenda Shambani na kutafuta chakula cha ng'ombe.
sawa jaribu kusearch hata youtube uone jinsi wanavyovaa halafu uniambie kama wewe ndio mwalimu wao kwa nini usiwatamani na mishepu yao iliyojichora kwa kuvaa vitaiti vya kubana.
Mimi binafsi siwezi kuruhusu mke wangu aende huko.
Ndio maana waarabu wameshtukia mchongo wake zao wakienda gym wanavaa majuba kuanzia juu hadi chini huoni kitu anabakisha sura tu
 
Kuna binti nilihisi ametulia
Alikuwa anafanya kazi sehemu fulani.
Ghafla nkashangaa zimepita siku nyingi haonekani.
Nilivyokuja kufuatilia , naambiwa bosi wake alimtimua kazini kwa sababu ya kugonganisha wanaume hadi kufikia hatua ya kuharibu kazi yake.
Nikaishia kuchoka na kuanza kuamini kila mmoja anauza kwa style yake.
Ni kumwomba tu Mungu yasitukute, unawezashangaa kushtukizwa Mke wako wa ndoa ndiye kungwi wa kujiuza mitandaoni kwa ID usizozijua.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Hata Me kumruhusu Ke akafanyiwe massage chini ya Me, atalambwa tu sababu "huwezi changanya fisi na mbuzi kwenye zizi moja" the nature of biological creatures hukataa kabisa.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
YAH bro, gym, sehemu za massage ni ungese tuu, Yn hata mwanamke mwenye ana akili timamu na kujiheshimu Hawez kwenda huko
 
Back
Top Bottom