uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,925
- 38,702
hakika mazoezi ni muhimu kwa afya mma hata madaktar wanatushauri lakini kuna mengi yanazungumzwa juu ya wake za watu na matrainer, tazama video kisha tuambie maoni yako:
View: https://www.tiktok.com/@andy_mwafrika/video/7673371816160709909?_r=1&u_code=ehe5c587c65kc0&preview_pb=0&sharer_language=en&_d=ejd96413ackaaj&share_item_id=7673371816160709909&source=h5_m&utm_source=copy&utm_campaign=client_share&share_link_id=39451242-e7bc-4db1-9dc3-0cdcdaf6fa20&share_app_id=1340&ugbiz_name=Unknown&user_id=7442626185362457655&sec_user_id=MS4wLjABAAAAgthRJjJnY1Lkie72G8AZClDHjCYWJ1-0LOYEmnXzvBFwFGq17z9vJ9nLcCqvVpQA&enable_checksum=1 This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
video:
View: https://vt.tiktok.com/ZSVLwXPDy/
Nilikuwa Nina wasiwasi sana na mke wangu na niliteseka kuachana naye, ila baada ya hapo nikaoa mwingine, and I really don't care wala simchungi, ila ninajua mambo mengi sana na akitoka tu nje ya ndoa nitajua na sitajali kumuacha