The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
Umewahi kununua au kushuhudia mtu akiuza?Gym sasa hivi zimegeuka kuwa soko jipya la kukatika viuno.
Wake zenu wanatuuzia sana huko, wewe unaishi kijijini nini?Umewahi kununua au kushuhudia mtu akiuza?
HongereniWake zenu wanatuuzia sana huko, wewe unaishi kijijini nini?
Ahsante sana!Hongereni
Endeleeni kununua kwa moyo mnyoofu.
Kuna binti nilihisi ametuliaHata sio gym sehem yeyote ile wanawake wanajiuza.
Hata picha huoni mkuu hadi uambiwe kila kitu.Umewahi kununua au kushuhudia mtu akiuza?
Sijawahi kufika hizo jimu zenu za mjini mkuu. Huko kijijini kwetu jimu ni kwenda Shambani na kutafuta chakula cha ng'ombe.Hata picha huoni mkuu hadi uambiwe kila kitu.
sawa jaribu kusearch hata youtube uone jinsi wanavyovaa halafu uniambie kama wewe ndio mwalimu wao kwa nini usiwatamani na mishepu yao iliyojichora kwa kuvaa vitaiti vya kubana.Sijawahi kufika hizo jimu zenu za mjini mkuu. Huko kijijini kwetu jimu ni kwenda Shambani na kutafuta chakula cha ng'ombe.
Vipi kuhusu katika Marathon, huko wapo salama?Wake zenu wanatuuzia sana huko, wewe unaishi kijijini nini?
Watakujibu wanaoendaga kukimbia huko.Vipi kuhusu katika Marathon, huko wapo salama?
Hata Me kumruhusu Ke akafanyiwe massage chini ya Me, atalambwa tu sababu "huwezi changanya fisi na mbuzi kwenye zizi moja" the nature of biological creatures hukataa kabisa.Mwanaume mwenye akili timamu, hawezi kumruhusu mke wake kwenda huko.
Ni kumwomba tu Mungu yasitukute, unawezashangaa kushtukizwa Mke wako wa ndoa ndiye kungwi wa kujiuza mitandaoni kwa ID usizozijua.Kuna binti nilihisi ametulia
Alikuwa anafanya kazi sehemu fulani.
Ghafla nkashangaa zimepita siku nyingi haonekani.
Nilivyokuja kufuatilia , naambiwa bosi wake alimtimua kazini kwa sababu ya kugonganisha wanaume hadi kufikia hatua ya kuharibu kazi yake.
Nikaishia kuchoka na kuanza kuamini kila mmoja anauza kwa style yake.
YAH bro, gym, sehemu za massage ni ungese tuu, Yn hata mwanamke mwenye ana akili timamu na kujiheshimu Hawez kwenda hukoHata Me kumruhusu Ke akafanyiwe massage chini ya Me, atalambwa tu sababu "huwezi changanya fisi na mbuzi kwenye zizi moja" the nature of biological creatures hukataa kabisa.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Uzungu ukizidi sana ni majanga, Ke na Me ni vigumu sana kuwa na bondi ya mahusiano yoyote pasipo kuunganisha vikojoleo.YAH bro, gym, sehemu za massage ni ungese tuu, Yn hata mwanamke mwenye ana akili timamu na kujiheshimu Hawez kwenda huko
Ndiyomaana wahenga walikuwa hawataki watoto wa kiume tuwe karibu na Ke kimazoea, walijua tu lazima hasi na chanya zigongane.YAH bro, gym, sehemu za massage ni ungese tuu, Yn hata mwanamke mwenye ana akili timamu na kujiheshimu Hawez kwenda huko