hakika mazoezi ni muhimu kwa afya mma hata madaktar wanatushauri lakini kuna mengi yanazungumzwa juu ya wake za watu na matrainer, tazama video kisha tuambie maoni yako:
View: https://www.tiktok.com/@andy_mwafrika/video/7673371816160709909?_r=1&u_code=ehe5c587c65kc0&preview_pb=0&sharer_language=en&_d=ejd96413ackaaj&share_item_id=7673371816160709909&source=h5_m&utm_source=copy&utm_campaign=client_share&share_link_id=39451242-e7bc-4db1-9dc3-0cdcdaf6fa20&share_app_id=1340&ugbiz_name=Unknown&user_id=7442626185362457655&sec_user_id=MS4wLjABAAAAgthRJjJnY1Lkie72G8AZClDHjCYWJ1-0LOYEmnXzvBFwFGq17z9vJ9nLcCqvVpQA&enable_checksum=1 This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
video:
View: https://vt.tiktok.com/ZSVLwXPDy/
Mtaanza kusema tusiende hata sokoni sasa😂YAH bro, gym, sehemu za massage ni ungese tuu, Yn hata mwanamke mwenye ana akili timamu na kujiheshimu Hawez kwenda huko
Hebu jaribu kuninyoa nikung’oe hizo mbupu mbuzi wewe😃Tena hizo gym na massage lazima wagusane kingese, na hapo ndo mke anapoliwa kummke, ah huo upuuzi za mambo ya gym na massage akiniletea demu wangu aisee namnyoa kwa kuvuta nywele zake
Ww njoo na hizo pigo uone moto wake kudadekiHebu jaribu kuninyoa nikung’oe hizo mbupu mbuzi wewe😃
Ah sokoni uongo, kuna baadhi ya sehemu zinaeleweka ila gym na massage hapana aiseeMtaanza kusema tusiende hata sokoni sasa😂
Tutauana, nasemajeeee!!😎Ww njoo na hizo pigo uone moto wake kudadeki
Gym kuna shida gani jmnAh sokoni uongo, kuna baadhi ya sehemu zinaeleweka ila gym na massage hapana aisee
Kama hujawah kwenda bc huwez kuelewa, na usijaribu kwenda kama unampenda jamaa akoGym kuna shida gani jmn
Yu bera wochi yua bakiTutauana, nasemajeeee!!😎
Naenda ila kutembea tu mazoezi siyawezi mimi acha nijinenepee zangu tu miili mipya tutapewa na bwana!Kama hujawah kwenda bc huwez kuelewa, na usijaribu kwenda kama unampenda jamaa ako
Stay back boyaaYu bera wochi yua baki
Ila mwanaume anaweza kwenda kufanyiwa masaage?YAH bro, gym, sehemu za massage ni ungese tuu, Yn hata mwanamke mwenye ana akili timamu na kujiheshimu Hawez kwenda huko
Wote wanaweza kufanyiwa massage ila tuangalie n yupi kati ya mwanaume au mwanamke atakayeharibu ndoa yake baada ya kuonja huko njeIla mwanaume anaweza kwenda kufanyiwa masaage?
Boya mwnyw, fala nn 😎Stay back boyaa
Kutembea c utembee Ht barabaraniNaenda ila kutembea tu mazoezi siyawezi mimi acha nijinenepee zangu tu miili mipya tutapewa na bwana!
Mbuzi wee!Boya mwnyw, fala nn 😎
Ndio hukohukoKutembea c utembee Ht barabarani
Mwanamke marufuku kwenda kufanyiwa massage na mtu mwingine tofauti na mumewe.Wote wanaweza kufanyiwa massage ila tuangalie n yupi kati ya mwanaume au mwanamke atakayeharibu ndoa yake baada ya kuonja huko nje