Video ya Anjela wa konde music worldwide yawa gumzo, yafikisha zaidi ya views milioni moja ndani ya saa 24

Video ya Anjela wa konde music worldwide yawa gumzo, yafikisha zaidi ya views milioni moja ndani ya saa 24

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
IMG_20210515_063301.jpg

IMG_20210515_063412.jpg

Video ya msanii Anjela wa konde music worldwide imefanya maajabu na kuonyesha kukubalika kwa haraka sana ambapo imefikisha zaidi ya views milioni 1 ndani ya saa 24. Mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi baada ya kutambulishwa kwa mwanadada huyo mwenye vocals hatari na mashairi machachari yamemfanya Harmonize kumshauri kupitia ukurasa wake wa instagram, kwamba asijione yeye ndio kila kitu japokuwa amewazidi "kaka" na "dada" zake na aendelee kuwaheshimu.
 
Angella anajitahidi, nlidhani usajili wake ulikuwa wa mhemko ila naona anafanya vzuri hata ule aliomshirikisha harmo nao ulifanya vizuri.
 
Konde gang wao usiku ndio views huongezeka kwa kasi
Hapo ndo nashindaa kuelewa afu baada ya muda views zinaganda baada ya attitude kuhit 3+ Ndani nlitegemea wawe wamefika 10+ kwa hizi wiki tatu ila Mpka saa ina 8+
 
Hapo ndo nashindaa kuelewa afu baada ya muda views zinaganda baada ya attitude kuhit 3+ Ndani nlitegemea wawe wamefika 10+ kwa hizi wiki tatu ila Mpka saa ina 8+
Sasa hivi Harmo ,H-Baba wapo studio na Awilo wanaipigia rmx yake special kwa ajili ya Mama Samia.
 
IMG_5678.jpg

Saa 2 asubuhi ilikua na views 1.5 mpk sasahiv saa moja wameongezeka views laki 1 tuu [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom