Video ya Anjela wa konde music worldwide yawa gumzo, yafikisha zaidi ya views milioni moja ndani ya saa 24

Nasubiri one day hawa wasanii wa Bongo fleva waonyeshe upendo na wapeane support kama ilivyokuwa zamani miaka ya 2000.
Beef ya TMK na East Coast ilituharibia morari wa kusikiliza muziki, maana inabidi uchague timu kusikiliza michano. Mimi niliwapenda TMK kwasababu walikuwa masela wa kutoka uswahilini. Lakini vilevile watoto wa Upanga walikuwa wanachana mbaya, enzi hizo.

Ninachotaka kusema ni kwamba, wabongo tuache chuki. Maisha ni mafupi sana, kwahiyo tusipoteze muda kwa chuki na roho mbaya. Tu enjoy Maisha tu
 
Kukiwa na promoters kama 50, matamasha makubwa kama 16 na TVs ( zilizobase kwenye burudani ) kama 14.

Automatically beef zitaisha au kupungua zenyewe. Maana hakutakuwa na kuabudiana abudiana sana.
 
Now ana 1.7 mls.
Anjella katisha tena nlikuwa nadhani anapata views pale akiimba na harmo ila huu mwanzo mwisho peke yake.
 
Ametoa wimbo mda mzur coz hkn msanii wa kike mkubwa aliechia ngoma saa hii, so all eyes on her bt hongera kwake akaze buti tu.
 
Aisee huu wimbo views zinakimbia sana usiku, jana mchana kutwa wameongezeka kama 100k tu, kufika saivi naona wameongezeka 800k
 
Ametoa wimbo mda mzur coz hkn msanii wa kike mkubwa aliechia ngoma saa hii, so all eyes on her bt hongera kwake akaze buti tu.
Mbona yule dada sijui winnie katoa wimbo tena kamshirikisha darassa au unaposema msanii wa kike unamsema nani? Au una mrefer zuchu na nandy?
 
Back
Top Bottom