Video ya Anjela wa konde music worldwide yawa gumzo, yafikisha zaidi ya views milioni moja ndani ya saa 24

Video ya Anjela wa konde music worldwide yawa gumzo, yafikisha zaidi ya views milioni moja ndani ya saa 24

Pasipo ushabiki wa kitim kiukweli wimbo mbaya( sio mbaya, walawaida) , ila viewers umepata.
🙌🙌Sifa ziende kwa mashabiki wa konde na viunga vyake
 
Yaan hapo tunapigia mahesabu amepata views 1.5 ndani ya masaa 24 lakin mpk leo ni siku ya 3 bado hajafikisha 2M
Kawaida mkuu, kitu kikitoka watu wanakimbilia kutazama kwa wakati mmoja, baada ya hapo number inapungua kwa kasi. Sawa tu na movie mpya.
 
Back
Top Bottom