Amenishangaza
Ni vizuri pia.Konde gang wao usiku ndio views huongezeka kwa kasi
KwaniniKonde gang wao usiku ndio views huongezeka kwa kasi
Hapo ndo nashindaa kuelewa afu baada ya muda views zinaganda baada ya attitude kuhit 3+ Ndani nlitegemea wawe wamefika 10+ kwa hizi wiki tatu ila Mpka saa ina 8+Konde gang wao usiku ndio views huongezeka kwa kasi
Sasa hivi Harmo ,H-Baba wapo studio na Awilo wanaipigia rmx yake special kwa ajili ya Mama Samia.Hapo ndo nashindaa kuelewa afu baada ya muda views zinaganda baada ya attitude kuhit 3+ Ndani nlitegemea wawe wamefika 10+ kwa hizi wiki tatu ila Mpka saa ina 8+
Amenishangaza
Umechelewa sana kulijua hloWanaacha nyimbo kali kama madam prezident, Wabongo sijui shida nini.
Mziki ni kama chakula tu, unaacha chakula bora unakula chips yai kisa ina taste vzuri mdomoni 😅😅Wanaacha nyimbo kali kama madam prezident, Wabongo sijui shida nini.