Sasa hivi muziki ni record label na connection.Wanaacha nyimbo kali kama madam prezident, Wabongo sijui shida nini.
Kesho utaamka wako 2ml ..ndo kusema wana view usikuView attachment 1786189
Saa 2 asubuhi ilikua na views 1.5 mpk sasahiv saa moja wameongezeka views laki 1 tuu [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Kukiwa na promoters kama 50, matamasha makubwa kama 16 na TVs ( zilizobase kwenye burudani ) kama 14.Nasubiri one day hawa wasanii wa Bongo fleva waonyeshe upendo na wapeane support kama ilivyokuwa zamani miaka ya 2000.
Beef ya TMK na East Coast ilituharibia morari wa kusikiliza muziki, maana inabidi uchague timu kusikiliza michano. Mimi niliwapenda TMK kwasababu walikuwa masela wa kutoka uswahilini. Lakini vilevile watoto wa Upanga walikuwa wanachana mbaya, enzi hizo.
Ninachotaka kusema ni kwamba, wabongo tuache chuki. Maisha ni mafupi sana, kwahiyo tusipoteze muda kwa chuki na roho mbaya. Tu enjoy Maisha tu
hahaha innocent na Spartacus wamepotea kinouma
πππSpartacus mnyama mkaliRobidinyo yukwapi?? πππ
Ile nyimbo au uchafu?Wanaacha nyimbo kali kama madam prezident, Wabongo sijui shida nini.
Paid Ads. Hapo unakuta viewers wa Arabs, Indian, Asia.Aisee huu wimbo views zinakimbia sana usiku, jana mchana kutwa wameongezeka kama 100k tu, kufika saivi naona wameongezeka 800k
Anhaa shukrani mkuuPaid Ads. Hapo unakuta viewers wa Arabs, Indian, Asia.
Mbona yule dada sijui winnie katoa wimbo tena kamshirikisha darassa au unaposema msanii wa kike unamsema nani? Au una mrefer zuchu na nandy?Ametoa wimbo mda mzur coz hkn msanii wa kike mkubwa aliechia ngoma saa hii, so all eyes on her bt hongera kwake akaze buti tu.