Ndombwindo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2013 Posts 1,387 Reaction score 2,085 May 17, 2021 #41 Franky Samuel said: View attachment 1786189 Saa 2 asubuhi ilikua na views 1.5 mpk sasahiv saa moja wameongezeka views laki 1 tuu [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] Click to expand... Laki moja ni wachache kwa huo muda? Nauliza tu generally sio kiteam uchwara.
Franky Samuel said: View attachment 1786189 Saa 2 asubuhi ilikua na views 1.5 mpk sasahiv saa moja wameongezeka views laki 1 tuu [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] Click to expand... Laki moja ni wachache kwa huo muda? Nauliza tu generally sio kiteam uchwara.
herman joshua JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 1,967 Reaction score 3,212 May 17, 2021 #42 Pasipo ushabiki wa kitim kiukweli wimbo mbaya( sio mbaya, walawaida) , ila viewers umepata. 🙌🙌Sifa ziende kwa mashabiki wa konde na viunga vyake
Pasipo ushabiki wa kitim kiukweli wimbo mbaya( sio mbaya, walawaida) , ila viewers umepata. 🙌🙌Sifa ziende kwa mashabiki wa konde na viunga vyake
herman joshua JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 1,967 Reaction score 3,212 May 17, 2021 #43 happyxxx said: Jaman mimi huyu anjela nimejitahidi kumuelewa lakini sioni kitu. sielewi anachoimba sielewi mavazi sielewi muonekano Click to expand... Unachokiona ndcho ninachokiona, wimbo hauna maajabu yoyote
happyxxx said: Jaman mimi huyu anjela nimejitahidi kumuelewa lakini sioni kitu. sielewi anachoimba sielewi mavazi sielewi muonekano Click to expand... Unachokiona ndcho ninachokiona, wimbo hauna maajabu yoyote
Franky Samuel JF-Expert Member Joined Oct 10, 2018 Posts 5,195 Reaction score 13,785 May 17, 2021 #44 Ndombwindo said: Laki moja ni wachache kwa huo muda? Nauliza tu generally sio kiteam uchwara. Click to expand... Yaan hapo tunapigia mahesabu amepata views 1.5 ndani ya masaa 24 lakin mpk leo ni siku ya 3 bado hajafikisha 2M
Ndombwindo said: Laki moja ni wachache kwa huo muda? Nauliza tu generally sio kiteam uchwara. Click to expand... Yaan hapo tunapigia mahesabu amepata views 1.5 ndani ya masaa 24 lakin mpk leo ni siku ya 3 bado hajafikisha 2M
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,154 Reaction score 31,246 May 17, 2021 #45 Franky Samuel said: Yaan hapo tunapigia mahesabu amepata views 1.5 ndani ya masaa 24 lakin mpk leo ni siku ya 3 bado hajafikisha 2M Click to expand... Kawaida mkuu, kitu kikitoka watu wanakimbilia kutazama kwa wakati mmoja, baada ya hapo number inapungua kwa kasi. Sawa tu na movie mpya.
Franky Samuel said: Yaan hapo tunapigia mahesabu amepata views 1.5 ndani ya masaa 24 lakin mpk leo ni siku ya 3 bado hajafikisha 2M Click to expand... Kawaida mkuu, kitu kikitoka watu wanakimbilia kutazama kwa wakati mmoja, baada ya hapo number inapungua kwa kasi. Sawa tu na movie mpya.