Pia soma: Kijana Tosh wa Kariakoo apotea kusikojulikana baada ya kupigiwa simu na mteja wake akampokee
Unawapa wauaji kisingizio, ngoja yakukute utakilaani hiki ulichoandika hapa.Vijana nao wapunguze ujanjaujanja, utapeli, kutembea na wake/waume za watu.
Vipo kupambana chadema. Mambo ya utekaji huoni hata mkulu akilikemea wala kuonesha dakili za kulikataa🙆♂️🙆♂️Hii nchi kwa sasa ni kama vile haina vyombo vya ulinzi! Na kama vipo, basi vipo kwa manufaa ya wachache.
mama wa yote haya ni nani kama sio serikali na majeshi yake!! Wahalifu nao wameamua kupita humo humo kwenye hizo loophole zilizoachwa na serikali.Haya matukio siku hizi yanafanywa kwa lengo la wahalifu kujipatia pesa kwa njia zisizo halali.
Taifa letu siku hizi ni kama halina serikali wala polisi, makundi ya wahalifu wanatumia silaha kuteka watu ili kuwatoa pesa, usipotoa wanakupoteza.
Mwanzo ilikuwa michezo ya kisiasa, lakini kwa sasa mchezo umehamia upande wa uchumi kwa watekaji, wanataka kujitajirisha kwa njia zisizo halali huku wakilindwa na dola.
Watanzania wengi mmezoea kudanganywa.Unawapa wauaji kisingizio, ngoja yakukute utakilaani hiki ulichoandika hapa.
IlaaVijana nao wapunguze ujanjaujanja, utapeli, kutembea na wake/waume za watu.
Ngoja siku yakukute utapata akili.Watanzania wengi mmezoea kudanganywa.
Sio wote wanaotekwa basi serikali inahusika! Wengine wanatekana sababu ya visa vyao ila watekaji hawaogopi sababu serikali imelala.
Mtu ni fundi simu hao wengi ni matapeli na ujanjaujanja.
Yanaweza kunikuta serikali kuhusika au watu wa kawaida kuhusika.Ngoja siku yakukute utapata akili.
Mbona wanawake wengi wa mjini ni wajanjawajanja na wanatapeli wanaume ila ni nadra kusikia wamepotea ??Watanzania wengi mmezoea kudanganywa.
Sio wote wanaotekwa basi serikali inahusika! Wengine wanatekana sababu ya visa vyao ila watekaji hawaogopi sababu serikali imelala.
Mtu ni fundi simu hao wengi ni matapeli na ujanjaujanja.
Wengi hupewa adhabu ya unyanyasaji wa kingono sababu chanzo kikuu cha utapeli wa mwanamke kwa mwanaume ni mapenzi.Mbona wanawake wengi ni wajanjawajanja na wanatapeli wanaume ila ni nadra kusikia wamepotea ??
Ipo siku na wewe utatekwa na watu watasema wewe ni Tapeli. Hujasikia kilichotokea Simiyu.Mtoto katekwa watekaji wakaomba pesa, waliponyimwa pesa wakaamua kumuua mtoto. Swali kwako, huyo mtoto alikuwa tapeli? Hayajakufika.Watanzania wengi mmezoea kudanganywa.
Sio wote wanaotekwa basi serikali inahusika! Wengine wanatekana sababu ya visa vyao ila watekaji hawaogopi sababu serikali imelala.
Mtu ni fundi simu hao wengi ni matapeli na ujanjaujanja.
Mbona hatujawahi kusikia hizo kesi za wanawake matapeli kutekwa kwenda kupewa adhabu za kingono na wanaume waliowatapeli ?Wengi hupewa adhabu ya unyanyasaji wa kingono sababu chanzo kikuu cha utapeli wa mwanamke kwa mwanaume ni mapenzi.
Sasa umerudi kwenye point yangu kua Sio kila utekaji ni serikali hapo umeonyesha alitekwa na vibaka/majambazi.Ipo siku na wewe utatekwa na watu watasema wewe ni Tapeli. Hujasikia kilichotokea Simiyu.Mtoto katekwa watekaji wakaomba pesa, waliponyimwa pesa wakaamua kumuua mtoto. Swali kwako, huyo mtoto alikuwa tapeli? Hayajakufika.