Video ya CCTV camera ikionyesha utekaji wa Peter Richard Mushi Kariakoo

Video ya CCTV camera ikionyesha utekaji wa Peter Richard Mushi Kariakoo

Dizonga na nyie mnasakwa
Mna malizana tu

Ova
Hapa kufa si sekunde tu aisee mtu mmoja ni rand 500 hapo muuaji anafurahi kweli wakiwa wengi hivyo
20260821_152317.jpg
na video ya ushahidi anapeleka..
 
Hapa kufa si sekunde tu aisee mtu mmoja ni rand 500 hapo muuaji anafurahi kweli wakiwa wengi hivyoView attachment 3654402 na video ya ushahidi anapeleka..
Miaka ile nakuja nafikia kwa machupa ahh mbona nlihama mwenyewe pale
Maana zile ambush+jamaa kukoswakoswa 😄
Sema walimdakaga wakamnyofoa sikio 😄
Jamaa naye akawa mafia wazulu wenyewe walikuwa wana msalute
Ndiyo hivyo yuko jela tena sahvi

Mziki aliokua nao sasa hivi ni mkubwa ni wa kumuombea mwana nimekaa nae Cape Town mwamba hapa nilimkuta na hizo mishe sikua nae karibu pamoja na wazala wengine..
 
Haya matukio siku hizi yanafanywa kwa lengo la wahalifu kujipatia pesa kwa njia zisizo halali.

Taifa letu siku hizi ni kama halina serikali wala polisi, ndio maana makundi ya wahalifu wanatumia silaha kuteka watu ili kuwatoa pesa, usipotoa wanakupoteza.

Mwanzo ilikuwa michezo ya kisiasa, lakini kwa sasa mchezo umehamia upande wa uchumi kwa watekaji, wanataka kujitajirisha kwa njia zisizo halali huku wakilindwa na dola.

Dola inawalinda kwasababu miongoni mwa hao wahalifu, wapo maofisa wa polisi wa vyeo vya juu wanaotoa ushirikiano kwa wahuni hasa kwa kuwapa silaha.
Umeongea kwa uchungu sana mimi pia nina uchungu sana kuona tuna hofu imetanda na hatujui usalama wetu kabisa
 
Mziki aliokua nao sasa hivi ni mkubwa ni wa kumuombea mwana nimekaa nae Cape Town mwamba hapa nilimkuta na hizo mishe sikua nae karibu pamoja na wazala wengine..
Yule hafai 😄 basi sahv naona kayakanyaga mpaka kashindwa kutoka mpaka muda huu

Ova
 
Unawapa wauaji kisingizio, ngoja yakukute utakilaani hiki ulichoandika hapa.
Yatampataje wakati yeye ni mmoja wa watekelezaji wa mpango huo uliouelezea hapo juu!

Siku pekee yatakapomtokea ni siku ambayo Genge zima litatokomezwa na wananchi wenyewe.
 
Nshawah kudandiwa sema kipind utekaji ulikua haujatamalaki mapimbi walizunguka na mimi siku nzima ndugu zangu walihaha hatare
Kuna kituo walienda kunidrop uko maninja wote niliowakuta ndugu zao hawana taarifa wengine wana week za kutosha msosi ni mpaka aje mtuhumiwa mpya ni visent0pvisent vyake au kwa neema ya afande muungwana, kuna maaskari wanaubinadamu sijawah kuona ila nahis wanachukiwa na wenzao
Kwa uzoefu wangu wa sikuile mtu kupotea ni dakika chache sana
 
Yatampataje wakati yeye ni mmoja wa watekelezaji wa mpango huo uliouelezea hapo juu!

Siku pekee yatakapomtokea ni siku ambayo Genge zima litatokomezwa na wananchi wenyewe.
Watanganyika nahisi uvumilivu wetu hauna kikomo.
 
Nshawah kudandiwa sema kipind utekaji ulikua haujatamalaki mapimbi walizunguka na mimi siku nzima ndugu zangu walihaha hatare
Kuna kituo walienda kunidrop uko maninja wote niliowakuta ndugu zao hawana taarifa wengine wana week za kutosha msosi ni mpaka aje mtuhumiwa mpya ni visent0pvisent vyake au kwa neema ya afande muungwana, kuna maaskari wanaubinadamu sijawah kuona ila nahis wanachukiwa na wenzao
Kwa uzoefu wangu wa sikuile mtu kupotea ni dakika chache sana
Dah nina hasira sana na hawa wahuni
 
vipi hakupatikana mpaka leo??????????????????

ndio maana nilikuja na huu uzi.

Vipi wamegoma kumrudisha??? Hapo familia imekaa kimya, ingekuwa wanaotafutwa wamehusika kuwabebea wake zao, wangetumia zile zile picha kuwasaka na kuwadaka.

Hizi ndiyo sehemu za kutumia hizo hasira, sio kuwaonea wanawake alafu mnakuja kuteteana mitandaoni kama wasengewasenge
 
Back
Top Bottom