Video ya CCTV camera ikionyesha utekaji wa Peter Richard Mushi Kariakoo

Sababu zako zote unazoandika hapa hazina maana.

Mtu akijua ana kosa amefanya kwa mwingine hawezi kukubali kuambiwa njoo sehemu fulani unitengenezee simu, lazima angechukua tahadhari ya kujilinda.

Wewe na kichwa chako kinachowaza mapenzi ndio unaamini mwenye kosa anaweza kujipeleka kama kuku sehemu aliyoitwa huku akijua anawindwa.

Unaleta habari za kufarijiwa hapa hatupo kitandani, unawaza sana mapenzi.
Peek-a-boo😂
 
Hii nchi kwa sasa ni kama vile haina vyombo vya ulinzi! Na kama vipo, basi vipo kwa manufaa ya wachache.
Hv kwani ukiwa mfuasi wa chadema lazima uwe taahira? Kuna polisi wa kumlinda kila raia? Wamedhulumiana huko na unavyowajua wachaga wacha apambane na hali yake. Uwe raia mwema uepuke hizo dhahama. Unakuta anatembea na mke wa mtu, kamdhulumu mtu mabwege mnakimbilia kulaumu serikali ni kuifanyia siasa za majitaka hasa nyumbu wa chadema
 
Haya matukio siku hizi yanafanywa kwa lengo la wahalifu kujipatia pesa kwa njia zisizo halali.

Taifa letu siku hizi ni kama halina serikali wala polisi, ndio maana makundi ya wahalifu wanatumia silaha kuteka watu ili kuwatoa pesa, usipotoa wanakupoteza.

Mwanzo ilikuwa michezo ya kisiasa, lakini kwa sasa mchezo umehamia upande wa uchumi kwa watekaji, wanataka kujitajirisha kwa njia zisizo halali huku wakilindwa na dola.

Dola inawalinda kwasababu miongoni mwa hao wahalifu, wapo maofisa wa polisi wa vyeo vya juu wanaotoa ushirikiano kwa wahuni hasa kwa kuwapa silaha.
Lioneni hili pumbavu, ni nchi gani hakuna hayo mambo? Kuna askari wa kulinda kila raia? Tumia akili badala ya makalio
 
Hv kwani ukiwa mfuasi wa chadema lazima uwe taahira? Kuna polisi wa kumlinda kila raia? Wamedhulumiana huko na unavyowajua wachaga wacha apambane na hali yake. Uwe raia mwema uepuke hizo dhahama. Unakuta anatembea na mke wa mtu, kamdhulumu mtu mabwege mnakimbilia kulaumu serikali ni kuifanyia siasa za majitaka hasa nyumbu wa chadema
Umepaniki! Kunywa maji mengi upate unafuu. Mbona mkibanwa baadaye mnajitokeza hadharani na kukiri kumshikilia mtu? Mara ngapi mmefanya huu uhuni? Nyinyi ndiyo watekaji wakuu. Hata mkatae haisaidii kitu.
 
Haya matukio siku hizi yanafanywa kwa lengo la wahalifu kujipatia pesa kwa njia zisizo halali.

Taifa letu siku hizi ni kama halina serikali wala polisi, ndio maana makundi ya wahalifu wanatumia silaha kuteka watu ili kuwatoa pesa, usipotoa wanakupoteza.

Mwanzo ilikuwa michezo ya kisiasa, lakini kwa sasa mchezo umehamia upande wa uchumi kwa watekaji, wanataka kujitajirisha kwa njia zisizo halali huku wakilindwa na dola.

Dola inawalinda kwasababu miongoni mwa hao wahalifu, wapo maofisa wa polisi wa vyeo vya juu wanaotoa ushirikiano kwa wahuni hasa kwa kuwapa silaha.
Duh kumbe ndio imefikia huku sasa si nchi yetu itageuka kama Mexico
 
Daah uzuri wa SA ndio napoipendea hapo ndugu wanatumia hiyo video kuua wote hao hawaendi polisi waliobaki ndio wao watakimbilia polisi sema bongo tunataka watekaji watafutwe kwa minara ya simu..
 
Sasa umerudi kwenye point yangu kua Sio kila utekaji ni serikali hapo umeonyesha alitekwa na vibaka/majambazi.
Muda sana tulisema humu
Huu utekaji tekaji,kuna watu nao watatokea watakuwa wanaupitia kuutumia
Mdhulumiana,mnadaiana
Nk...
Ndiyo hayo mengine hutokea

Ova
 
Daah uzuri wa SA ndio napoipendea hapo ndugu wanatumia hiyo video kuua wote hao hawaendi polisi waliobaki ndio wao watakimbilia polisi sema bongo tunataka watekaji watafutwe kwa minara ya simu..
Dizonga na nyie mnasakwa
Mna malizana tu

Ova
 
Muda sana tulisema humu
Huu utekaji tekaji,kuna watu nao watatokea watakuwa wanaupitia kuutumia
Mdhulumiana,mnadaiana
Nk...
Ndiyo hayo mengine hutokea

Ova
Ni hatari sana
 
Back
Top Bottom