peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Sasa umerudi kwenye point yangu kua Sio kila utekaji ni serikali hapo umeonyesha alitekwa na vibaka/majambazi.
Muache arushe miguu huku!.Ipo siku na wewe utatekwa na watu watasema wewe ni Tapeli. Hujasikia kilichotokea Simiyu.Mtoto katekwa watekaji wakaomba pesa, waliponyimwa pesa wakaamua kumuua mtoto. Swali kwako, huyo mtoto alikuwa tapeli? Hayajakufika.
Mwanaume kumkamata mwanamke ahitaji kukodi jeshi la wanaume.Mbona hatujawahi kusikia hizo kesi za wanawake matapeli kutekwa kwenda kupewa adhabu za kingono na wanaume waliowatapeli ?
Mbona hatujawahi kusikia hizo kesi??Mwanaume kumkamata mwanamke ahitaji kukodi jeshi la wanaume.
Kwa simu tu unamchukua tapeli aliyekula nauli yako unaenda kumpiga mtungo
Mnapenda kufarijiwa uongo! Ili moyo wako usuuzike basi adui yako atupiwe lawama zote za kweli hadi za uongo.Muache arushe miguu huku!.
Kifo cha mirembe wa Geita, Kesi ya bodaboda aliyemuua Penina wa Goba.Mbona hatujawahi kusikia hizo kesi??
Suala si sababu ya kutekwa, suala ni tukio la kutekwa bila watekaji kukamatwa. Kutekana tekana si mambo ya kuhalalisha hata kama wanaotekwa ni matapeli au watembea na wake za watu.Vijana nao wapunguze ujanjaujanja, utapeli, kutembea na wake/waume za watu.
Tupo pamoja! Wewe ndo umewapa serikali lawama wanazostahili kwenye huu uzi.Suala si sababu ya kutekwa, suala ni tukio la kutekwa bila watekaji kukamatwa. Kutekana tekana si mambo ya kuhalalisha hata kama wanaotekwa ni matapeli au watembea na wake za watu.
Kesi za wanawake waliotapeli wakaenda kupigwa mtungo zipo ?Kifo cha mirembe wa Geita, Kesi ya bodaboda aliyemuua Penina wa Goba.
Zimejaa tele! Mojawapo binti aliyeomba majiKesi za wanawake waliotapeli wakaenda kupigwa mtungo zipo ?
Kuna fundi alichonifanyia kwenye gari yangu, Mungu Tu ndiye anajua lakini matukio mengine unaweza kuwa ni visasi, watu wanakufanyia tukio ambalo kiukweli unatanani ulipizeHuyu kwenye video Anaitwa Peter Richard Mushi ni fundi simu Kariakooalipigiwa simu tarehe13/8/2026 na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mteja anahitaji kutengenezewa simuAlimwelekeza alipo lakini mteja akataka ndugu peter amfuate maeneo ya china plaza alipofika china plaza Alikutana na huyo mteja aliyekuwa anampigia simu kumbe hawakuwa wateja bali ni watekaji walikuja na gari toyota crown rangi nyeupe aina plate namba ndugu wamezunguka vituo vyote vya police hospitali zote mochwari zote bila kupata majibu
Pia soma: Kijana Tosh wa Kariakoo apotea kusikojulikana baada ya kupigiwa simu na mteja wake akampokee
Ujanja ujanja mtu anakuuizia kitu kibovu huku akijua kabisa wenyewe wanasema " Nimempiga Mshamba huyu"Vijana nao wapunguze ujanjaujanja, utapeli, kutembea na wake/waume za watu.
Wanawake wanawatapeli Sana Wanaume yaani vilio ni vingi, sema wao wanatapeli kwa mlango wa mapenzi/ngonoMbona wanawake wengi wa mjini ni wajanjawajanja na wanatapeli wanaume ila ni nadra kusikia wamepotea ??
Mwisho wa siku wanasingiziwa serikali ndo wameteka.Ujanja ujanja mtu anakuuizia kitu kibovu huku akijua kabisa wenyewe wanasema " Nimempiga Mshamba huyu"
Sasa kuna watu wengine hawamwachii Mungu
siku ukitekwa na kufirwa na wafuasi wa ccm itakuwa poa sana.Vijana nao wapunguze ujanjaujanja, utapeli, kutembea na wake/waume za watu.
Wapo wanaotekwa na CCM wengi tu ila wengine wanatekwa na watu wa kawaida.siku ukitekwa na kufirwa na wafuasi wa ccm itakuwa poa sana.
Sababu zako zote unazoandika hapa hazina maana.Mnapenda kufarijiwa uongo! Ili moyo wako usuuzike basi adui yako atupiwe lawama zote za kweli hadi za uongo.
Kuna namna kacheza rough sehemu.Fundi simu katekwa?
Kutakuwa kuna namna kavujisha kitu au kasaidia kusanua kitu...